Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Kuna tofauti kati ya wana Kilimanjaro na wachaga na kuna tofauti kati ya wanaKagera na wahaya. Na kuna tofauti kati ya wanakilimanjaro na wanaMoshi, vile vile kuna tofauti kati ya wanaKagera na wanaBukoba. Japo vinaelekeana ila kuna mstari unatenganisha mkuu.
Hahaha pia takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora (include nyumba) kwahyo hatusemi tu bila evidence

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukituma picha kama hizi nakuelewa sasa. Maana uzi ni wa amsha masha za X mass. Sio mnaokoteza vipicha vya mitandaoni vya mahoteli na barabara mnatutumia kwenye uzi kama huu. Kuna wakati mnatakiwa muwe mnatumia ubongo wenu vizuri[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa maghorofa vijijini?? Kweli tembea uone!! Mbona uhayani maghorofa vijijini ni nyumba za kawaida!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…