Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Furaha ya kuwa na natural waterfalls

#Marangu- Kinukamori.
PicsArt_12-20-08.47.09.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya wana Kilimanjaro na wachaga na kuna tofauti kati ya wanaKagera na wahaya. Na kuna tofauti kati ya wanakilimanjaro na wanaMoshi, vile vile kuna tofauti kati ya wanaKagera na wanaBukoba. Japo vinaelekeana ila kuna mstari unatenganisha mkuu.
Hahaha pia takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora (include nyumba) kwahyo hatusemi tu bila evidence

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukituma picha kama hizi nakuelewa sasa. Maana uzi ni wa amsha masha za X mass. Sio mnaokoteza vipicha vya mitandaoni vya mahoteli na barabara mnatutumia kwenye uzi kama huu. Kuna wakati mnatakiwa muwe mnatumia ubongo wenu vizuri[emoji3][emoji3]
Umelewa rubisi? Kwan hizo picha sio za vijijin huko uchagani ? Hilo ghorofa Ni la kuishi watu lipo rombo vijin huko au ulidhani ni hôtel? Hahaha Kilimandjaro 90% makazi ni Bora kwa mujibu wa takwimu
Sasa unabishana na takwimu?
Njoo ule nyama najua una njaaView attachment 1297582

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa maghorofa vijijini?? Kweli tembea uone!! Mbona uhayani maghorofa vijijini ni nyumba za kawaida!!??
Kwa makazi , hakuna mkoa unaofikia kilimanjaro , mie bimkubwa anatokea marangu,...napaitaga masaki ya kilimanjaro , ndani ndani huko ghorofa zimejaa , hadi nyumba ya mwsho inayopaka na msitu wa kilimanjaro, hao jamaa nyoko sana, wamejenga sio kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom