Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Wakuu habarini za mjadala,nafurahi mjadala umepamba Moto,shukrani nyingi kwako INRI
Monchengladbach na wengine mnaoendelea kuleta picha
Unfortunately krismasi ya mwaka huu nimeshndwa kuja Moshi(roho inaniuma) hii Ni kutokana na ratiba ya ghafla ya shirika nililopo(kazini)
Ilikuwa nije TAREHE 22 na ndege ya Emirates lkn nimeamua ku cancel
Nitaenda Spain kesho kwenye shughuli maalumu
Nitakuwa mjini Bilbao
Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee nawe kama yule chalii ya bukoba mbwembwe nyingi nenda kabisa Irak na tusikuone humu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza we leta picha tu ndo maana ya uzi. Period
Hapo hujaingia ROMBO, machame, masama,old Moshi,Kibosho,uru,mwika,mamba,kilema,mabogoni, himo duh Ni hatari Hakuna mkoa unaofikia makazi bora vijin zaidi ya kilimanjaro
Ndio maana takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora hesabu hazidanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hice tu zinakimbizwa na bajaji, costa zibebe nani?? [emoji26][emoji26]

nadhani kwa sasa hivi moshi ndio mji unao ongoza kwa kutumia bajaji katikati ya mji!!

Huwezi amini kunafoleni kabisa bajaji hata 50 zimejipanga hizoooo alafu nayo wanasema wana trafic jam [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Watataka na trafick lights hawa za kuongoza bajaji!!! [emoji38][emoji38]

Wakibisha natumapicha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hiz wamekuwa wapenda sifa.

Hukisikia watu wa moshi na Arusha wanavyopasifia kwao !! Unaweza jion we si kitu kwao.
Fika sasa uone maajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.

Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]

Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoni
IMG-20191222-WA0041.jpeg
IMG-20191222-WA0040.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndo nyumba wanazopigia kelele hapa kila siku!?? Nimeanza kujua ni kwa nini hawapigi picha na kuzituma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787] Mie Leo nimeshangaa?? Hizo ndo nyumba nzr vijijin moshi?

Kumbe ndo maana hawataki kupost picha zao.

Mkuu kama uko bk hebu tuma picha tuwatoe ushamba.

Halafu unaskia eti moshi ndan ndan[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.

Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]

Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoniView attachment 1300331View attachment 1300333

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyojisifiaga hapa kama vile wanaendaga kwao peke Yao December .

Hawajui kuna watu wanatumia akili na hela kwenda kwao.

Mi nikionaga mpaka wanapanda coster za buza na kujazana kwenye kuku kwenye treni huwa nazidi kuwadharau hawa wachaga.. Yaan wanashindwa kukodi mabasi kwenda kwao? Jibu ni kwamba wengi na maskini mno KAZI kumiliki vigenge Tu huko kimara[emoji23][emoji23]

Juzi wametangaza kuongeza route za ndege Dar Bukoba kutoka mbili hadi tatu kwa siku Ila tupo kimya wapenda sifa Kwa kuzaliwa[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekuwa wao hiyo ya kuongeza ndege kwa route ya Buloba wangekuwa wameshaianzishia uzi. Wanapenda sifa za kukopi[emoji3][emoji3][emoji3]

Back
Top Bottom