doama
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 808
- 650
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa muongo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kilimanjaro Raha sanaBreak kidogo Hedaru kabla ya kuendelea na safari ya MoshiView attachment 1300345
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimekuachia kina INRI wawashulikie nipo busy kuelekea Spain kikazi nafwatilia mjadala naona mmebanwa mbavu poleni kwa kuvamia gari kwa mbeleIn college alafu Home Sweet Home alafu barabarani[emoji2296][emoji2296][emoji2296]Ukiwa muongo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wachaga bwana. Anyways poleni na safari ya chuoni kwenu na kupiga picha za barabarani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kilimanjaro ni route tano kwa wiki? Sasa kati ya 3 za BK na 5 za kilimanjaro Nan zaidi? Hahaha instanbulWangekuwa wao hiyo ya kuongeza ndege kwa route ya Buloba wangekuwa wameshaianzishia uzi. Wanapenda sifa za kukopi[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimandjaro ina route 5 kwa siku nyie ndio mmepewa 3 sasa mmetufikia?Wanavyojisifiaga hapa kama vile wanaendaga kwao peke Yao December .
Hawajui kuna watu wanatumia akili na hela kwenda kwao.
Mi nikionaga mpaka wanapanda coster za buza na kujazana kwenye kuku kwenye treni huwa nazidi kuwadharau hawa wachaga.. Yaan wanashindwa kukodi mabasi kwenda kwao? Jibu ni kwamba wengi na maskini mno KAZI kumiliki vigenge Tu huko kimara[emoji23][emoji23]
Juzi wametangaza kuongeza route za ndege Dar Bukoba kutoka mbili hadi tatu kwa siku Ila tupo kimya wapenda sifa Kwa kuzaliwa[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna picha ipi ambayo sio ya vijin huko Moshi? Mmeshikwa pabaya na Windhoek wako[emoji1787][emoji1787] Mie Leo nimeshangaa?? Hizo ndo nyumba nzr vijijin moshi?
Kumbe ndo maana hawataki kupost picha zao.
Mkuu kama uko bk hebu tuma picha tuwatoe ushamba.
Halafu unaskia eti moshi ndan ndan[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mzungu anafikaga mazingira mabovu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiv akili zako unazielewa?
Cheki eti anajisifia wazungu kuwa vijijini!!!
Mkuu leta picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo uliyopost siyo ya muleba-rubyaMkuu unasema barabara ya Rubya haina lami?
Mkuu Sisi sio watu wa porojo kama nyieView attachment 1300335
Sent using Jamii Forums mobile app
Treni hata hapa ulaya ndio zinatumikaSisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.
Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]
Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoniView attachment 1300331View attachment 1300333
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakusalimu tu, najua upo busy kipindi hiki cha Christmas na mwaka mpya
Oh pôle bwana luambo,wasalimie Spain ngoja tuendelee kunyoosha Hawa wa kagera waliovamia harusi isowahusuWakuu habarini za mjadala,nafurahi mjadala umepamba Moto,shukrani nyingi kwako INRI
Monchengladbach na wengine mnaoendelea kuleta picha
Unfortunately krismasi ya mwaka huu nimeshndwa kuja Moshi(roho inaniuma) hii Ni kutokana na ratiba ya ghafla ya shirika nililopo(kazini)
Ilikuwa nije TAREHE 22 na ndege ya Emirates lkn nimeamua ku cancel
Nitaenda Spain kesho kwenye shughuli maalumu
Nitakuwa mjini Bilbao
Ahsanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ghorofa limekutoa mate Sana? Kwan sio nyumba? Tanzania nzima Hakuna nyumba iliyo vijin yenye hadhi hiyo hii ndio tofauti ya uchagani na popote tzWachaga wote huishi kwenye hilo ghorofa??
Yaani moshi hakunaga nyumba zaidi ya hilo ghorofa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe picha huzion? Ndio umeingia kwenye mjadala sasa hv? Panda juu utaona nying
Unajua unashangaza, kwan hyo picha sio ya kijijin?Naona picha za tapatalk. Bado una download picha aisee?? Aibu[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje hayo ma mijengo ?Mbona naona barabara nyekundu kama kasulu huko kigoma?
Kumbe nyie ni washamba Sana hayo ndo maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelewa rubisi wewe njoo uchagani paradiso ya AfricaHizi ndo nyumba wanazopigia kelele hapa kila siku!?? Nimeanza kujua ni kwa nini hawapigi picha na kuzituma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app