Shamrashamra uzinduzi wa majengo, miundombinu Mji wa Serikali Dodoma

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Tazama namna Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ulivyopambwa kwa shamrashamra za kuelekea uzinduzi wa majengo ya ofisi za Wizara na taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami, unaofanyika leo, Oktoba 30, 2026, ukiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Fataki zimemulika anga la Mji wa Serikali usiku wa kuamkia leo, huku shamrashamra na shangwe zikitawala kuashiria maandalizi ya hafla hiyo muhimu.
Your browser is not able to display this video.
 
Aisee wapande miti sana mtumba kuna jua na upepo mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…