Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Haya ni ma-lilian kamazima kama hujui,yalivyomfanya mtoto wa mtumishi
 
Kuna watu hata bure sioi, huo unene nipeleke wapi? napenda wanawake wanaoenda gym wana afya sio big mamas. Sorry watanzania mimi sijui hiyo tabia yenu ya kupenda watu wenye obesity imetoka wapi.

Alafu kitu sitokuja kutoa hadi nakufa ni mahari, kama it means sitooa Tanzania then so be it, mwanamke tumependana tunafunga ndoa alafu natoa hela kumnunua? what the f? traditions za kishenzi bado tunaendelea kuzikumbatia hadi leo, ndiyo sababu hizi watu wa zamani walikua wanapenda kuzaa mabinti alafu wanawauza utotoni, slavery made this sh*t na we still practice it until today.
Kwahiyo unataka kila mtu apende mwanamke anaenda Gym sio? Hatuwezi kufanana mzee wewe endelea kupenda ivo ivo afu utamaduni wa mahari ni kama shukrani mana jamii zetu za kiafrika binti hukuzwa chini ya uangalizi wa watu wengi ivo mahari huja kama Asante na wala sioni tatizo juu ya hilo, Huu ujinga wa kuona kila chako ni upuuzi hamia tu uko unakokuona kwa maana ambapo siku mwanaume mwenzio akitaka kukuoa ndio utaona umestarabika..Pathetic
 
mimi nataka kujua maana ya hili ng'onda kama lina maana zaidi ya samaki wa kukausha(split dried fish.)ili nisije litumia kumbe lishabadilishwa tafsri
Ng'onda ni kiharufu flani kibaya anachokuwa nacho MTU na huwa hakitoki kirahisi hata ujipulizie perfume demu akiwa na ng'onda ukiwa unamkaza kunakuwa na kiharufu flank hivi kibaya so its much annoying when it comes to kwich kwichi
 
20M naenda Swaziland kwa king mswati najichukulia vitu vya maana vipyaa
 
Kama huna hela inamaana sio size yako mnalia lia nini? Kuna watu milioni 20 hela ya chai
20M ni pesa ya Kula nyapu genuine 2000!

20M naoa wake 100 Kwa mahali ya laki 2 kuku wa kienyeji.

20M najenga kibanda Bush kizuriii, naoa watoto wa mjumbe 5, nawafungulia na biashara ndogo ndogo! No stress!

20M nakwea Dilimu laina ya Magu, natua pale mchambawima Znz, naopoa wadada 4 mitaa ya dole au kibanda maiti, nalipa mahali naenda nao kule Saadan Kula upepo na kuzisugua bila magendo!

20M naenda kule Tanga, Lushoto Magamba nachukua warembo 2, viuno feni! Nafunga ndoa kabisaaaa! Tunanunua Vitz, tunafungua na bness tunakula life!

Sasa presha za nini kununua Hilo trekta Uzidi ambalo halilimi hata eka 2 pale Kishumundu Kwa bibi?

Ngoja nitafute elfu 50 nikalipime oil!!!
 
Na hii mayo ni kiki kama ebitoke na mlela ?

Siku ndo style ya kurudi kwenye magazeti
 
Mi natoa dhahabu hiyo hapo upo tayari
 

Attachments

  • P_20191021_163033.jpg
    P_20191021_163033.jpg
    66.4 KB · Views: 2
Kitu Imeshashindiliwa Nani atoe hiyo Pesa, atakuwa Zwazwa

Nisiende kutafuta Binti Mbichi huko kijijini Nijitafunie nije kuhangaika na kulumbembe la mjini

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]umenichekesha sana mkuu eti KULUMBEMBE LA MJINI
 
Shamsa Ford ni bint mzuri sana, tangu kakiwa kanakua kalionekana atakuja kuwa mwanamke bora sana, mpaka alipomaliza shule yake nchini Uganda bado alikua ni msichana mzuri tu.

Hayo ya mahari nina uhakika kuwa anatania tu ili kunigesha mahusiano.

Sina shida na huyu msichana, kilichomsababishia yote ni mazingira aliyokutana nayo mara tu baada ya shule yake. Mimi ninaamini kabisa hata sasa Shamsa Ford hajabadilika bado ndani yake ana ubora uleule ila ulimwengu wa kisanii ndiyo unaomharibia.
Ikitokea Shamsa Ford amebadili au amebadilishiwa mazingira binafsi naamini atakua mwanamke bora kabisa na wala si mbishi wa kubadilika ila bahati mbaya safari yake ya kimaisha humkutanisha na 'wale wale'
 
1. Ameshazalishwa.
2. Background ya mahusiano yake yote tunayo wananzego.
3. Kashazushiwa kuwa na ng'onda na waliokuwa nae.
4. Mfupi na mnene kiasi kwamba sehemu inayotenganisha mapaja na miguu huwezi kuiona.

Labda mababu wa kizungu ndio watatoa hiyo 10 million na wakitoa jicho ataliwa sana kama kina Lucy Komba 🤣🤣
Ng'onda ndo nini
 
Hakupaswa kuwa hivi huyu binti kabisa...maisha kweli fyoko!
 
Mjuni Lwambo,
Usukumani mwanamke aliyezalishwa anatolewa ng'ombe?
Hata mahali hapati yeye ndiye anajioza yani familia yake inamtoa kama sadaka! Atoe kero nyumbani

Maksai mmoja sasa hivi Maswa, Bariadi, Ngudu au Tabora hazidi laki 5 tena msimu huu huu wa masika
Mzee hata 200K unabeba s
 
Back
Top Bottom