Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Shamsa Ford asema mahari yake ni Milioni 20

Kuna wanawake wakali tu hata zaidi yako unaweza oa hata kwa mahari ya 50000 wewe unaongelea m20,
 
Wanawake wanaojipangia mahari ni wale waliojikatia tamaa kwa kuchezewa na wanaume wa mjini.
 
Kama huna hela inamaana sio size yako mnalia lia nini? Kuna watu milioni 20 hela ya chai
 
Kweli wanawake pesa tu, huyu dada ni miongoni mwa wanawake wachache sana ninaowakubali na kuwatamani nchi hii,

Baada ya kuona kapitia hadi mikononi mwa akina Ney wa mitego nikaghairi. Nishampotezea huyu shamsa..

Mahari kataja ndogo, milioni 10 ni sawa na ng'ombe kumi na kitu tu, kwetu Lyamidati tunaolea ng'ombe 30 na kuendelea.
 
Nani wa kutoa hiyo 20M+? Kwa kipi hasa? Kwa uzuri UPI? Mfupi,mnene,mweusi,kazalishwa,wanadai ana ng'onda,kaachika zaidi ya Mara mbili..!! Kaishiwa hana jipya so hizo ni business strategies tu
Lol, milioni 20?? kwa lipi zaidi. Na kudanga kote kule kwa baadhi ya wasanii, sidhani kama hiyo milioni 20 ni halali kwake although she's a super hot lady out there, she's one of the cutest bongo movie in Tanzania.
Shamsa ni mojawapo ya mwanamke mzuri sana, tatizo tu ni aliko pitapita, huwa sijisikii poa kuwa na mwanamke ambae najua alikuwa na flani.
 
Cutest bongo movie!! [emoji849][emoji849][emoji849][emoji3166][emoji3166][emoji848][emoji848]
Lol, milioni 20?? kwa lipi zaidi. Na kudanga kote kule kwa baadhi ya wasanii, sidhani kama hiyo milioni 20 ni halali kwake although she's a super hot lady out there, she's one of the cutest bongo movie in Tanzania.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Kama Etrovert na Mshana wamehudhuria, mimi ni nani nisitie neno

Msingi ajitie mandimu tu arudishe bikira yake then offer ya 2500 atleast atapata kwa kuanzia
 
1. Ameshazalishwa.
2. Background ya mahusiano yake yote tunayo wananzego.
3. Kashazushiwa kuwa na ng'onda na waliokuwa nae.
4. Mfupi na mnene kiasi kwamba sehemu inayotenganisha mapaja na miguu huwezi kuiona.

Labda mababu wa kizungu ndio watatoa hiyo 10 million na wakitoa jicho ataliwa sana kama kina Lucy Komba [emoji1787][emoji1787]
Hata NIDO imefanya safari ya kuelekea tumboni
 
Usiwachukulie serious sana walimwengu hawafanani mawazo yao @Priscalia
 
Nani wa kutoa hiyo 20M+? Kwa kipi hasa? Kwa uzuri UPI? Mfupi,mnene,mweusi,kazalishwa,wanadai ana ng'onda,kaachika zaidi ya Mara mbili..!! Kaishiwa hana jipya so hizo ni business strategies tu
mimi nataka kujua maana ya hili ng'onda kama lina maana zaidi ya samaki wa kukausha(split dried fish.)ili nisije litumia kumbe lishabadilishwa tafsri
 
Back
Top Bottom