Shamsa Ford hatimaye aolewa

Shamsa Ford hatimaye aolewa

Hiyo watoto wa mjini tunaita “amevaa mabomu ktk ya jiji la New York tena haddharani".mwanaume nae hilo jina Chidmapenzi lina ukakasi kidogo sasa maadili yake sijui yakoje.
 
Bwana Harusi kama haendani Na Shamsa. Okay..nimesahau .mwaume Pesa wala sio sura
 
Nawaombea wapendane haswa haswa wawaumbue nyie wote, labda watafata mkumbo wa Zarinah na Chibu. 😀
 
Huyu bwana mapenzi ni mkongo nini?? Tuiombee ndoa idumu tu , inshallah.
 
Ney wa mitego nae kaja ju. Tuone movie itaishia wapi
 

Attachments

  • 1472881769480.jpg
    1472881769480.jpg
    49.5 KB · Views: 72
Back
Top Bottom