Shamsa Ford: Mahari yangu ni Tsh. milioni 20

Shamsa Ford: Mahari yangu ni Tsh. milioni 20

Sasa kama yeye milioni 20 na mikala wa The Lost Twins asemeje?
images.jpeg-11.jpg
 
SK2016, Sanchoka 20

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Utamu unaishaje kwa mwanamke Kama shamshaford
Binafsi kwenye Bongo Movie nawapenda Sana Shamsa na Rose Ndauka basi tu kazi zao na zetu zinatuweka mbali lkn wanastahili kwa matumizi ya Wanaume Rijali na ni wazuri pia na kwa Muonekano wao kuwa nao kimahusiano lazima Uwe mwanaume haswaa maana wamekamilika nahisi wameshindwa kutulia kwakuwa wanakutana na Wanaume wa Daaslam mwishowe wanakosa radha wanayotaka.
Ipo siku wakati utaongea, nawatakia mafanikio katika kazi zao Wadada warembo wote wa Bongo movie.
 
Back
Top Bottom