Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mla vumbi huyu[emoji14]Nasty girl.
Utashanga housegirl wake anavaa za dukani mashaAllahUnajiita star halafu unavaa nguo zilizovaliwa na mtu mwingine, house girl wake avae nini pyuuuuuuu!!!!!
Kinomahuyu sista ana bonge la paja. na kasura mda wote kanatabasamu. anaonekana msweet.
Nonsense.![]()
Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba zikiwemo nguo za ndani ‘makufuli’.
Akizungumzia nguo anazopenda kuvaa, mdada huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Terry alisema, kuna mtu huwa anampelekea nguo ‘classic’ za mitumba na anachagua zile zinazomfaa, ananunua na kuzivaa.
“Niseme tu ukweli kwamba, napenda sana nguo za mtumba, hata makufuli. Huwa nanunua, nazifua na kuziweka ‘sopusopu’ kisha navaa, sioni shida katika hilo,” alisema Shamsa.
Serikali iliwahi kupiga marufuku uuzwaji wa nguo za mitumba za ndani kama vile makufuli, brazia na soksi lakini bado nguo hizo zimekuwa ni kimbilio kwa watu wengi wakidai zina ubora na ni za kijanja zaidi.
Source: Tanzania Today
Ngoja nikupeHuyu dada kila nikimwona roho yangu inazuhusika mwenye number zake tafadhali!
Picha zimegoma kufunga. Nione kama kweli kavaa kufuli la mtumba
Hizo picha zingefunguka najua ningeziona vipi hizo kufuli za mtumba anazovaa huyo mama Terry.Hahahaaaaaa utaonaje mkuu