kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Tena
Na wazandiki kibwenaNilisikia mahojiano yake, aliulizwa kuwa alishawahi kuvaa chupi ya mtumba? Katika jibu lake alikiri kuwa alishawahi kuvaa kipindi cha nyuma.
Sasa angalia na kichwa cha habari kilivyo, nchi hii ina wapotoshaji kibao.