Shamsa Ford: Napendelea kuvaa chupi za mtumba

Shamsa Ford: Napendelea kuvaa chupi za mtumba

Tena
Nilisikia mahojiano yake, aliulizwa kuwa alishawahi kuvaa chupi ya mtumba? Katika jibu lake alikiri kuwa alishawahi kuvaa kipindi cha nyuma.

Sasa angalia na kichwa cha habari kilivyo, nchi hii ina wapotoshaji kibao.
Na wazandiki kibwena
 
45a8shamsaford.jpg
Mapaja yamejaa vizuri aisee

Asante kwa hii picha Jambazi
 
Mastaa Wa Bongo kiuchumi tunawaelewa jamani na hili ni kwa kuwa hakuna usimamizi mzuri Wa kazi zao.

Yeye kuvaa mtumba sio ishu kubwa ila mapicha ya nusu uchi kwenye mitandao yanashusha hadhi yao labda kama kuna biashara nyingine waweke wazi.
 
uyu dada upweke unamsumbua akaungane na mumewe ughaibuni
 
Back
Top Bottom