Shamsa Ford: Napendelea kuvaa chupi za mtumba

Shamsa Ford: Napendelea kuvaa chupi za mtumba

Nampenda Sana huyu dada ... Ananivutia Sana kivyangu vyangu mnooo
 
SHAMSA.png


Licha ya baadhi ya mastaa kudai wanavaa nguo spesheli tu, tena zile zilizofungwa kwenye nailoni, staa wa filamu Bongo Shamsa Ford amefunguka kuwa, yeye huwa anapendelea kuvaa nguo za mitumba zikiwemo nguo za ndani ‘makufuli’.

Akizungumzia nguo anazopenda kuvaa, mdada huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Terry alisema, kuna mtu huwa anampelekea nguo ‘classic’ za mitumba na anachagua zile zinazomfaa, ananunua na kuzivaa.

“Niseme tu ukweli kwamba, napenda sana nguo za mtumba, hata makufuli. Huwa nanunua, nazifua na kuziweka ‘sopusopu’ kisha navaa, sioni shida katika hilo,” alisema Shamsa.

Serikali iliwahi kupiga marufuku uuzwaji wa nguo za mitumba za ndani kama vile makufuli, brazia na soksi lakini bado nguo hizo zimekuwa ni kimbilio kwa watu wengi wakidai zina ubora na ni za kijanja zaidi.



Source: Tanzania Today
Nonsense.
 
Huyu dada kila nikimwona roho yangu inazuhusika mwenye number zake tafadhali!
 
Picha zimegoma kufunguka. Nione kama kweli kavaa kufuli la mtumba
 
Back
Top Bottom