Shogaaaa! Ney naye ni mwanaume wa maana? Maana ninayomaanisha mimi ni heshima sio pesa.
Umesahau juzi kati hapo alivyowatukana wanawake aliozaa nao?Aisee wanaume design ya Ney sio type yangu kabisa hata awe millionaire!
Dah....
Hahahaaa uwiiii!Umenikumbusha yule mume wa Shamsa ile sura sio aisee Mungu anisamehe tu ila ni afadhali mara 100 ya Ney japo ametoa malalamiko ila kwa Ney kabug sanaaa.
Si alisemaga hana mpango wa kuoa? Huyo shamsa anachezewa tu kidude chake ,tena nasikia ana mimba juu, anajishauaje uko insta na ma wifi zake?
Mmh!! Nyie huyu ney anapataga mademu wakali, si unamkumbuka yule skyner aliyezaa nae mbongo Movie? Demu mkali ila kazaa na kichaa, nasikia ana dudu la haja jamaa ndo maana wanamshobokea
Mwanaume hasifiwi sura bwana
Cc: warumi.
Heshima pesa scandal ata gwajima anazo
Mmh!! Nyie huyu ney anapataga mademu wakali, si unamkumbuka yule skyner aliyezaa nae mbongo Movie? Demu mkali ila kazaa na kichaa, nasikia ana dudu la haja jamaa ndo maana wanamshobokea
Mmh!! Ile sio sura kwa kweli, sura nzito kama uji wa dengu, mwanaume anatisha kama jambazi, halafu huyu shamsa anapendaga wanaume wahuni huyu nshamuona
Ata kama mwenzangu, ila sio sura ya ney na huyo dick, uwa najiuliza pale tu wako hai sura ziko vile, wakifa izo maiti zao zitakuwaje? Hapana kwa kweli, mungu anisamehe tu ptuuu!! Sura muhimu binamu, ata sura ya mbuzi si haba kwa kweli inaeleweka
Sura muhimu mwenzangu, maana kuna sura nyingine ata homoni za genye hazipandi