Aaaaaaaahhh, kiba nasikia kiboko yao yule aseeh, lulu mpaka leo analilia dudu la kiba
Haaa hamna sio mbaya sana, ivi kuna mwanaume mbaya tanganyika zaidi ya baba kijacho?
Mmmh!! Baba kijacho sio kukomaa kule, ukikaona live kamekomaa kafupi kabaya, uko insta filter zinamsaidia, ata hawaendani na zari kwa kweli, yani kama mtu na housboy wake
Idris nae ana sura nzuri? We binamu umeanza kuwa kipofu sasa
Aah ndo handsome wa tanzania baabu.Naona mama ubaya ashaanza kuwashwawashwa.
Kwahyo kiba ana duduzile la maana!!!Tamu thanaaaaaa
Mmmh!! Baba kijacho sio kukomaa kule, ukikaona live kamekomaa kafupi kabaya, uko insta filter zinamsaidia, ata hawaendani na zari kwa kweli, yani kama mtu na housboy wake
Idris nae ana sura nzuri? We binamu umeanza kuwa kipofu sasa
Hahahaaa, yaani nyie washenzi warumi na Ms.Lincoln mmenichekesha kama nini...looh!
Aaah sema kwa mastar bwana shoga angu sio tz nzima maana hasogei hata hatua mbili mbele ya La Aziz wangu.
Huyu warumi ni jinsia gani? Au mambo safi?
Uwiii! Toba lailaiiii, weka pichaaaa!
AKo kadada sikapendagi, kamalaya sana
Nawewe je ni jinsia gani
Na tusuruali twake hiv keshakabidhiwa pesa za bba?? Idrsa anapendeza hatishi halaf huku SA yupo na Samantha