Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Attachments

  • 1428427655150.jpg
    1428427655150.jpg
    32.2 KB · Views: 372
Unaposema uku south africa ina maana na wewe upo uko au tukueleweje? Ebu usinivunje mbavu apa.... jamaa anajua kuvaa na tumiguu twake kama banio la ugali

Umbea huu mpaka najiona nipo south binamu hhhhhhaaaaàaa
 
Hunijui au unataka nikalipe faini ya mil 3?

Kwa nini ukalipe faini ni swala la kueleweshana tu, wengine ni wataalam wa mambo ya jinsia tunaweza kumsaidia mtu aliyeelemewa na hormone za jinsia ya pili kurudia hali yake usichukulie vibaya.
 
Nataka nijue kwanza ya huyo jamaa anaeshinda kwenye thread na kina dada. Au sio mzima?

Hizi thread sio za kina dada ni za jf, walaumu modes kwa kuweka hili jukwaa.Unakaribishwa pia.Ukitaka kujua kama warumi ni mzima au la jifungie naye chumbani japo dakika moja
 
Last edited by a moderator:
Unaposema uku south africa ina maana na wewe upo uko au tukueleweje? Ebu usinivunje mbavu apa.... jamaa anajua kuvaa na tumiguu twake kama banio la ugali

Mfyuu zake, anajishaua namtazama tu anavosema eti huku south kwiiii!
 
Hahahaaa,ujue akili zako sio nzuri? Yaani nacheka balaa

Huyu Kiba huyu ni fullu package, sio kina baba ubaya mpaka wapekuliwe kwenye maboat kama vile anakaguliwa yaliyomo yamoo😎
 
Na wewe unafuata nini kwenye thread za kina dada kama na wewe sio dada? Tutolee umbea wako apa

Mkuu una tatizo ujijui tu, mwanaume aliyekamilika awezi kuwa hivi.. Nakuhurumia sababu ni unconditional haujui kama una tatizo.
 
Hizi thread sio za kina dada ni za jf, walaumu modes kwa kuweka hili jukwaa.Unakaribishwa pia.Ukitaka kujua kama warumi ni mzima au la jifungie naye chumbani japo dakika moja

Najaribu kumsaidia kijana mwenzetu kabla ajabobea kwenye haya mambo najua mnajifanya mnampenda ila mnamng'ong'a.. Siamini ukiwa na kaka au boyfriend kama warumi utaishi kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kumsaidia kijana mwenzetu kabla ajabobea kwenye haya mambo najua mnajifanya mnampenda ila mnamng'ong'a.. Siamini ukiwa na kaka au boyfriend kama warumi utaishi kwa amani

Ingekua vizuri ukafata yanayokuhusu
 
Back
Top Bottom