Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Shamsa Ford, Ney wa mitego ndani ya penzi zito

Baada ya ivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU, shamsa ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa muda mrefu, uku akimshutumu mwanaume huyo kutoijali familia yake zaidi ya marafiki na starehe, kitu ambacho kimemfanya staa huyo ajiweke pembeni kuepusha msongamano.

Siku chache baada ya staa huyo kutangaza rasmi kuachana na zilipendwa wake huyo anayefahamika kwa jina moja la dickson, ivi sasa staa huyo yupo kwenye mahaba mazito na mwana hip hop maarufu nchini, ney wa mitego, ambapo kwa nyakati tofauti wameonekana wakiwa wote zero distance , uku wakijiachia na mapicha kama ilivyo kawaida ya mastaa watafuta kick.

Kitendo hicho kimewashtua kama sio kuwapandisha presha wapenda ubuyu wa mujini, uku wengi wakihoji kulikoni staa huyo mwenye heshima tele mjini kuangukia kwa msanii mwenye scandal chafu kwenye jamii.

Namtamani sana hili Jimama, ila sina mbinu nitawezaje kulipata...na kuna mwingine anaitwa Mariam Mbewa...!
 
Najaribu kumsaidia kijana mwenzetu kabla ajabobea kwenye haya mambo najua mnajifanya mnampenda ila mnamng'ong'a.. Siamini ukiwa na kaka au boyfriend kama warumi utaishi kwa amani

Ulikuwa unatakaje labda? Acha kushoboka sina time na wewe nipotee *****
 
Mkuu una tatizo ujijui tu, mwanaume aliyekamilika awezi kuwa hivi.. Nakuhurumia sababu ni unconditional haujui kama una tatizo.

Niwe mwanamke, mwanaume au shoga, wewe ulikuwa unatakaje labda? Maana naona unashoboka wakati sikujui au una matatizo ya akili?
 
Najaribu kumsaidia kijana mwenzetu kabla ajabobea kwenye haya mambo najua mnajifanya mnampenda ila mnamng'ong'a.. Siamini ukiwa na kaka au boyfriend kama warumi utaishi kwa amani

Sasa kwa taarifa yako warumi ana galfriends kama kumi, mie nakung'ong'a wewe nakuona kama mshamba fulani ivi.Labda kama umempenda umeshindwa kumwambia.
Jisaidie kwanza wewe
Alafu usiseme kama nikiwa na boifrend.Ndo ninaye sasa.mimi ndo gf wa kumi wa warumi.
 
Last edited by a moderator:
Leo nachapia kuandikaa eti huku badala ya huko lakin kwani mie siwezi kua south acheni mazarau

Wewe upo Southhampton.unamkumbuka yule shoga yetu alotuambia tunaishi uingereza kwa bahati nassib? Kwiii sijui alifia wapi na pilipili ngabu wake.
 
Sasa kwa taarifa yako warumi ana galfriends kama kumi, mie nakung'ong'a wewe nakuona kama mshamba fulani ivi.Labda kama umempenda umeshindwa kumwambia.
Jisaidie kwanza wewe
Alafu usiseme kama nikiwa na boifrend.Ndo ninaye sasa.mimi ndo gf wa kumi wa warumi.

Achana nae huyo ana matatizo ya akili, we unamuona mzima?
 
Last edited by a moderator:
Wewe upo Southhampton.unamkumbuka yule shoga yetu alotuambia tunaishi uingereza kwa bahati nassib? Kwiii sijui alifia wapi na pilipili ngabu wake.

Hhhhaaaaaa namkumbuka duuuu kipindi kile michambo tu
 
Wewe saizi yako mama ubaya tu.

attachment.php

mkuu haya makalio yana tatizo gani, mbona marefu sana!
 
Toba....walahi ile sheria ikianza kukata jf members wengi tutakutana Segerea....hatutohitaji tena computer na simu..tutakuwa tunadiscuss ishu zetu live.

Hhhhaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom