Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mhuui shoga yangu huu umbeya balaa! Unataka picha ya shemeji yako ya nini?
Kwanza ya msukuma hujaweka.
Subiri naiweka sasa hivii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhuui shoga yangu huu umbeya balaa! Unataka picha ya shemeji yako ya nini?
Kwanza ya msukuma hujaweka.
Baada ya ivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU, shamsa ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa muda mrefu, uku akimshutumu mwanaume huyo kutoijali familia yake zaidi ya marafiki na starehe, kitu ambacho kimemfanya staa huyo ajiweke pembeni kuepusha msongamano.
Siku chache baada ya staa huyo kutangaza rasmi kuachana na zilipendwa wake huyo anayefahamika kwa jina moja la dickson, ivi sasa staa huyo yupo kwenye mahaba mazito na mwana hip hop maarufu nchini, ney wa mitego, ambapo kwa nyakati tofauti wameonekana wakiwa wote zero distance , uku wakijiachia na mapicha kama ilivyo kawaida ya mastaa watafuta kick.
Kitendo hicho kimewashtua kama sio kuwapandisha presha wapenda ubuyu wa mujini, uku wengi wakihoji kulikoni staa huyo mwenye heshima tele mjini kuangukia kwa msanii mwenye scandal chafu kwenye jamii.
Najaribu kumsaidia kijana mwenzetu kabla ajabobea kwenye haya mambo najua mnajifanya mnampenda ila mnamng'ong'a.. Siamini ukiwa na kaka au boyfriend kama warumi utaishi kwa amani
Mkuu una tatizo ujijui tu, mwanaume aliyekamilika awezi kuwa hivi.. Nakuhurumia sababu ni unconditional haujui kama una tatizo.
Najaribu kumsaidia kijana mwenzetu kabla ajabobea kwenye haya mambo najua mnajifanya mnampenda ila mnamng'ong'a.. Siamini ukiwa na kaka au boyfriend kama warumi utaishi kwa amani
Leo nachapia kuandikaa eti huku badala ya huko lakin kwani mie siwezi kua south acheni mazarau
Wewe upo Southhampton.unamkumbuka yule shoga yetu alotuambia tunaishi uingereza kwa bahati nassib? Kwiii sijui alifia wapi na pilipili ngabu wake.
Naomba uiweke kesho tafadhali, sitaki kuota ndoto za ajabu mie
Unaweza nionea wivu maana shemeji zako wewe wanafanana na Wasera
Angalia pale katiii...
Nataka nijue kwanza ya huyo jamaa anaeshinda kwenye thread na kina dada. Au sio mzima?
Hogo la maana hilo......nalikubali sana tu.
Hapana Chezeya Kiba kwa kweli utajikuta umepigwa chini ushavimba juu...
Warumi alisema eti huyo mume wake ana sura nzito kama dipa ya mtoto iliyonyewa
siwemaYupi mzuri Shamsa au siwema
Wewe saizi yako mama ubaya tu.
Toba....walahi ile sheria ikianza kukata jf members wengi tutakutana Segerea....hatutohitaji tena computer na simu..tutakuwa tunadiscuss ishu zetu live.
Hiyo sheria sasa isainiwe tuu kama mpaka dudu za watu zinadiskasiwa hadharini kiasi hiki.