Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hajavunja katiba wala Muongozo wowote nchini. Ana uhuru wa kufanya anachotaka. Kipochi cha kwake hakuna wa kumpangia
Hapana mnakosea!
Kuna Mila ma desturi za jamii mbali Na Katiba zinakataza mambo hayo.
Kuna amri za kiimani kwa dini mbalimbali zinakataza mambo hayo.
Msijizime data.