Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Hawa ma celeb wa Tanzania uchafu huyu dada nilikuwa namuona ana akili lakini bure kabisa .

Huyu mwigizaji akijibu maswali ya waendesha kipindi cha Ubaoni cha Channel ya Sinema Zetu anasema live kuwa ana mume anaishi naye ila wapo wapo tu ila kama atapata mtu mwingine wataachana aolewe .

Huwa akili wanapeleka wapi akipigwa ngeta utasikia eti ukatili wa kijinsia

USSR
HAhaha
Ana mume wa kiume au ndo mashine za kupukuchua mahindi ya kande zinaendelea na kazi?
 
Amejaribu kuonesha kuwa Wanaume tunapaswa kutafuta hela kila siku.

Hiyo wanayo Wanawake wengi sana siku hizi.
Tena bora yeye amesema live ila kuna wengine hawasemi lakini wanakiuza kila siku, ukitaja dau tu unaenda naye

Nakumbuka kuna jamaa angu alitembea naye huyu Shamsa kwa 300k tu ingawa alipitia kwa dalali
Noma sana!
 
badili marafiki mkuu
 
Back
Top Bottom