Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

huyo jamaa yako bado anaushamba wa pesa na chembechembe za uchangudoa ,huwezi kuwa na akili timamu kisa una vilaki 3 mfukoni unanza kuwinda wake za watu
Kuna maCeleb siwezi kuwataja hapa, wamepandishwa ndege sana kuwapelekea wahuni mambo.

Nimebahatika kusafiri nao mara kadhaa, alafu hata hawajali kuvaa kihasara-hasara
 
Amejaribu kuonesha kuwa Wanaume tunapaswa kutafuta hela kila siku.

Hiyo wanayo Wanawake wengi sana siku hizi.
Tena bora yeye amesema live ila kuna wengine hawasemi lakini wanakiuza kila siku, ukitaja dau tu unaenda naye

Nakumbuka kuna jamaa angu alitembea naye huyu Shamsa kwa 300k tu ingawa alipitia kwa dalali
Hahahahahaa....jamani
 
Back
Top Bottom