Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Shamsa Ford: Nina mume ila nikipata bwana, naolewa

Usimhukumu sana kwahiyo hela ndugu. Weka hata 400k halafu ingia mtaani, utakula pisi yyte unayoitaka. Mwanamke kupanua mapaja siyo kazi
Hiyo hela hata ukimpa mpenzi wako unayemuamini sana lazima aliwe.
Mwanamke na pesa ni sawa na samaki na maji.
Una class zako mzee, sio kila dem analika kizembe hivo kisa pesa... wanawake wanaojielewa hawajaisha kiasi hiko..then again una class yako flan kweli sikupingi kua hapo beki hazikabi.
 
Una class zako mzee, sio kila dem analika kizembe hivo kisa pesa... wanawake wanaojielewa hawajaisha kiasi hiko..then again una class yako flan kweli sikupingi kua hapo beki hazikabi.
Hao unaowasema ni mama zetu na bibi zetu ila siyo hawa wanawake wa kizazi kipya.
Akiamka asubuhi ana smartphone, yupo facebook, X na instagram.
Nipe namba ya mkeo nimuwekee 1.5M. Uone kama sijakutumia video.
 
Hawa ma celeb wa Tanzania uchafu huyu dada nilikuwa namuona ana akili lakini bure kabisa .

Huyu mwigizaji akijibu maswali ya waendesha kipindi cha Ubaoni cha Channel ya Sinema Zetu anasema live kuwa ana mume anaishi naye ila wapo wapo tu ila kama atapata mtu mwingine wataachana aolewe .

Huwa akili wanapeleka wapi akipigwa ngeta utasikia eti ukatili wa kijinsia

USSR
Labda kaongea tu kupata 'attention'.
 
Back
Top Bottom