L La Princesa JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 1,049 Reaction score 1,160 Jun 28, 2020 #1 Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki. Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Jun 28, 2020 #3 Chanzo cha kifo chake ni nini?
L La Princesa JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 1,049 Reaction score 1,160 Jun 28, 2020 Thread starter #4 Babumawe said: Chanzo cha kifo chake ni nini? Click to expand... hata mimi sijui
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Jun 28, 2020 #6 La Princesa said: hata mimi sijui Click to expand... Utatoaje taarifa ambayo huijui
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Jun 28, 2020 #7 Mwanga wa milele umwangazie
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Jun 28, 2020 #8 Pole kwa wafiwa!!!
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Jun 28, 2020 #9 Duh Mungu aifanyie roho yake wepesi, yeye mbele sisi nyuma, siku yetu nayo yaja.
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Jun 28, 2020 #10 Mke wa Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale, Shamsa Kombo amefariki dunia asubuhi ya leo, Jumapili Juni 28
Mke wa Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale, Shamsa Kombo amefariki dunia asubuhi ya leo, Jumapili Juni 28
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 Jun 28, 2020 #11 Innallilah WainaIllah Rajuun
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,556 Reaction score 2,571 Jun 28, 2020 #12 La Princesa, Unatutaarifu au unauliza
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Jun 28, 2020 #13 Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Jun 28, 2020 #14 Poleni sana,,,
G Goodnight Member Joined Jun 28, 2020 Posts 8 Reaction score 14 Jun 28, 2020 #15 Kwani babu tale ni mke wadomo
K kakaloo kisasi Member Joined Apr 8, 2015 Posts 27 Reaction score 64 Jun 28, 2020 #16 Kale kajamaa kana hatari kale
Mimi. JF-Expert Member Joined Sep 7, 2011 Posts 2,120 Reaction score 3,059 Jun 28, 2020 #17 Alikua amejiandaa na yupo kwenye michakato kugombea ubunge UWT viti maalumu..RIP Shamsa
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Jun 28, 2020 #18 Wekeni yutyubu mpate vyua mumkimbize Alikiba. Poleni wafiwa.
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Jun 28, 2020 #19 Kila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa. But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani? NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu? Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara? Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!! Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake. MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
Kila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa. But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani? NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu? Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara? Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!! Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake. MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Jun 28, 2020 #20 ππππ Pole kwa wafiwa, watoto na baba yao jamani. RIP ππ