TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Kila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa.

But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani?

NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu?

Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara?

Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!!


Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake.

MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
Kwani alitangaza nia ya ubunge?
 
Back
Top Bottom