TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

dadaqe Kayumba mtoto wa watu anaimba balaa lakini hatoboi kumbe watu wana njia zq pqnya
 
Hivi una dhani ni rahisi kutoa kafara enhee? Tena kwa mtu unayeshea nae kitanda na mmezaa watoto?


Muda mwingine utajichumia dhambi bila sababu ya msingi
Inategemea na Maagano, kawa wa Pembeni Wameisha kafara inaanza kutafuna wa ndani.
 
naomba niandike kitu kwa herufi kubwa yaani msisitizo. JAMANI HAPA NAAMINI KABISA HUYU JAMAA KAHUSIKA KAMA KAFARA,MNASHANGAA HILI MNGESHANGAA LA MWAMPOSA KUTOA KAFARA LA WATU 20 KULE MOSHI..MWAKA FULANI NILIKAA SEHEMU NA MSHIKAJI WANGU TUNAPIGA STORY NA MENEJA FULANI WA MZIKI MJANJAMJANJA ALIYEKUWA WA KWANZA KUMTOA MSANII NAMBA MOJA WA BONGO FLEVA KATIKA STORY JAMAA ALIKUWA ANASIKITIKA SANA JUU YA MWANADADA MDANGAJI KIPINDI HICHO ALIYEANZIA KWENYE MOVIE KWA SASA ANAJULIKAN KAMA MIMBAJI INGAWA AAFAKE FAKE TU MZIKI WENYEWE PIA ANAJULIKANA KWA UJASIRIAMALI WA KUPIKA MISOSI,MENEJA HUO ALIMPELEKA MWANADADA HUKO NDANINDANI KWA MGANGA MAARUFU ALIYEMUAMBIA AMTOE BINTI YAKE KAMA KAFARA NA DADA ALIKUBALI KWA MOYO MMOJA HUYU BWANA MENEJA AKAMUAMBIA MGANGA TUTARUDI,WALIVYOONDOKA AKAMUAMBIA MWANADADA SIHUSIKI KWENYE HILI DEAL,BINTI BADO YUPO HAI SIJUI BADAYE ALIMTOA NANI KAFARA MAANA MAMBO YAKE KWENYE MISOSI SIYO MABAYA
NIWAKUMBUSHE PIA MBONGO FLEVA NAMBA MOJA NA KISA CHA BIBI YAKE WANAOJUA HIYO STORY SIYO SIRI BIBI ALIDANJISHWA YUKO KWENYE VIDEO YAKE YA KWANZA ILIYOMTOA

Duh!! Watu wana roho ngumu, kukubali kumuua mwanao kisa Umaarufu na Utajiri, Huyo Muuza Misosi nishamjua. Ehe tupe story kuhusu huyo Bongo Fleva namba 1 na Bibi ake, walimtoa kwa mganga huyuhuyu aliepelekwa muuza Misosi? Sijui mwisho wao utakuaje naona wanazidi fanikiwa😱😱
 
Duh!! Watu wana roho ngumu, kukubali kumuua mwanao kisa Umaarufu na Utajiri, Huyo Muuza Misosi nishamjua. Ehe tupe story kuhusu huyo Bongo Fleva namba 1 na Bibi ake, walimtoa kwa mganga huyuhuyu aliepelekwa muuza Misosi? Sijui mwisho wao utakuaje naona wanazidi fanikiwa[emoji33][emoji33]
Hahahaha, duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekua kupata pesa unamtoa mke basi tungekua tumefanya hayo kitambo,ushirikina wa damu inahusu damu yako ya kuzaa sio mke hata siku moja...angalia watu wote wenye pesa za ulonzi utaona kazika watoto na ndgu wakutosha ila sio mke
True
 
Mkuu Victoire sijawai ona umechukia iv hahahahaaa
Huyu kwenye taarifa za vifo hajambo. Aliwahi kutushika ile siku jiwe alipotokomea. Alidai yuko mahututi moyo wake sijui una pacemaker na makorokoro gani alisema. Siku chache tukaona hotuba ya uteuzi "mgonjwa wa moyo" akahutubia. Taarifa za kichawi hazina ushahidi, na bila ushahidi sikubali maneno ya kuambiwa.
 
Back
Top Bottom