cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mjini pazito dea, uwiiiiiiiiiiihKamfukuzisha kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjini pazito dea, uwiiiiiiiiiiihKamfukuzisha kazi?
Na raha ya milele umpe eeh BWANAMwanga wa milele umwangazie
Bado mnaamini ulonzi karne hiiHatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Changamoto za upumuajiChanzo cha kifo chake ni nini?
Duh,, wewe kabinti utakuwa kambea wewe!!😁😁😂😂🤣🤣🤣🤣Mimi ni mtumishi wa Mungu. Tale ndo anaendesha maisha yake kwa kutumia waganga.
Karne hii bado watu wanaamini ulonziTumuogope Mungu jamani, Mitandao isitufanye tukose utu.
Dah basi atakuwa msiienge Sana huyo Jamaa.. unatoa uhai wa mtu Kwa sababu ya upumbavu.mzee rumors ni kwamba tale ndo mkono mchafu wenyewe
JF hakuna mwandishi wa habari.nenda katafute source ya kifo chake utuletee.Kwa nini?Logically kuna umuhimu wa chanzo cha kifo kuwa public ili kusaidia watu wengine kuwa salama pia.Kwa mfano kama katika nchi fulani watu wanakufa kwa Corona inapotangazwa kuwa watu wanakufa kwa Corona inasaidia sana watu kuongeza tahadhari na kuwa makini zaidi!
Ulozi upo tangia hata kabla Yesu hajakuja duniani. Mfalme wa Misri aliota ndoto akaagiza wachawi na waganga wamtafasirie ila waligonga mwamba. Uchawi upo....Bado mnaamini ulonzi karne hii
Yaani wewe unanifurahisha basi tu.Jf sheikh
Ingekua kupata pesa unamtoa mke basi tungekua tumefanya hayo kitambo,ushirikina wa damu inahusu damu yako ya kuzaa sio mke hata siku moja...angalia watu wote wenye pesa za ulonzi utaona kazika watoto na ndgu wakutosha ila sio mkeUlozi upo tangia hata kabla Yesu hajakuja duniani. Mfalme wa Misri aliota ndoto akaagiza wachawi na waganga wamtafasirie ila waligonga mwamba. Uchawi upo....
Hata Abdul Bonge alivyokata moto kama masikhara!!! Hizi Sanaa zina mambo mengi sana!Mhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Mkuu ni FUTA Kumbe?Habari zake tunazo. Haya babu Tale! Naona awamu ile iliwapitieni mbali ila kwa sasa imefyeka na itaendelea kufyeka hadi tuelewe kuwa kujikinga ni muhimu!
Ameondoka na uzuri wake.. Gone too soonHabari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
View attachment 1490835
View attachment 1490828
mzee una uhakika dayamondi alimtoa bibi ake kafara?naomba niandike kitu kwa herufi kubwa yaani msisitizo. JAMANI HAPA NAAMINI KABISA HUYU JAMAA KAHUSIKA KAMA KAFARA,MNASHANGAA HILI MNGESHANGAA LA MWAMPOSA KUTOA KAFARA LA WATU 20 KULE MOSHI..MWAKA FULANI NILIKAA SEHEMU NA MSHIKAJI WANGU TUNAPIGA STORY NA MENEJA FULANI WA MZIKI MJANJAMJANJA ALIYEKUWA WA KWANZA KUMTOA MSANII NAMBA MOJA WA BONGO FLEVA KATIKA STORY JAMAA ALIKUWA ANASIKITIKA SANA JUU YA MWANADADA MDANGAJI KIPINDI HICHO ALIYEANZIA KWENYE MOVIE KWA SASA ANAJULIKAN KAMA MIMBAJI INGAWA AAFAKE FAKE TU MZIKI WENYEWE PIA ANAJULIKANA KWA UJASIRIAMALI WA KUPIKA MISOSI,MENEJA HUO ALIMPELEKA MWANADADA HUKO NDANINDANI KWA MGANGA MAARUFU ALIYEMUAMBIA AMTOE BINTI YAKE KAMA KAFARA NA DADA ALIKUBALI KWA MOYO MMOJA HUYU BWANA MENEJA AKAMUAMBIA MGANGA TUTARUDI,WALIVYOONDOKA AKAMUAMBIA MWANADADA SIHUSIKI KWENYE HILI DEAL,BINTI BADO YUPO HAI SIJUI BADAYE ALIMTOA NANI KAFARA MAANA MAMBO YAKE KWENYE MISOSI SIYO MABAYA
NIWAKUMBUSHE PIA MBONGO FLEVA NAMBA MOJA NA KISA CHA BIBI YAKE WANAOJUA HIYO STORY SIYO SIRI BIBI ALIDANJISHWA YUKO KWENYE VIDEO YAKE YA KWANZA ILIYOMTOA
una uhakika?Tale mwenyewe ni bonge la mganga. Ana digirii za kutosha za ulozi na uganga.