Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
hatari sana.mkewe imekula kwake.watu hawana mchezo kwenye kutafuta hela.Mimi ni mtumishi wa Mungu. Tale ndo anaendesha maisha yake kwa kutumia waganga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana.mkewe imekula kwake.watu hawana mchezo kwenye kutafuta hela.Mimi ni mtumishi wa Mungu. Tale ndo anaendesha maisha yake kwa kutumia waganga.
Hivi kweli mkuu?Hatimae Tale kaamua kumtoa kafara mkewe kisa Ubunge,R.I.P Shamsa. Na ubunge hatopata fala huyu.
Huyo mbona alilazwa lakini?Ubunge umeleta balaa,ni pale mtaalam anakuambia utoe sadaka mtu unaempenda.
Twin nimeogopa asee!Tumuogope Mungu jamani, Mitandao isitufanye tukose utu.
Mkuu umejuaje? Au ndo zao hiyo familia?Ubunge umeleta balaa,ni pale mtaalam anakuambia utoe sadaka mtu unaempenda.
Ndiyo tena alikuwa ICU. Mtu mwenye afya yake njema akaugua ghafla ugonjwa hauna kichwa wala miguu.Huyo mbona alilazwa lakini?
Inasemaje?Mods wamedelete post Yangu 🙄
Bado hela hiyo hiyo domo ampe maza ake ya kuhonga usipime!Tatizo mziki anaimba diamond,mgao apate salaam,tale,mkubwa fela bado madanser sijui director bado producer. Hivyo mapato siyo kivile. Na awamu hii madawa ya kulevya yamedhibitiwa ndo kabisa. Maana zamani walikuwa wakiuza ganda si haba wanapata pesa.
Haya mambo yapo. Wengine huwa wanatoa kafara hadi watoto wao kisa mafanikio ya kisiasa. Yaani ukiamini waganga utajikuta unafanya mambo ya ajabu.Mkuu umejuaje? Au ndo zao hiyo familia?
Sasa anafanikiwa kweli?Mimi ni mtumishi wa Mungu. Tale ndo anaendesha maisha yake kwa kutumia waganga.
Alikuwa anaumwa huu ugonjwa mpya bwana. Nasikia dem wangu Jojo kaondoka na mtu huko Kisa cha RaweNdiyo tena alikuwa ICU. Mtu mwenye afya yake njema akaugua ghafla ugonjwa hauna kichwa wala miguu.
Kaumwa nini kwani twinYaani nimesikitika sana, Tale kapambana sana na huyu dada wakati yupo ICU Tale alikua hadi analia.
Mbona yupo huko juu msake[emoji16]Kuna ID moja humu huwa inajua vyanzo vya vifo vya watu maarufu wote siyo hivyo tu,hata magonjwa yao walio hai.
Mada zote za TANZIA ukizipitia humu utaikuta hapo inapiga udaku LAZIMA!
Inawezekanaje hii?
Mtela aliekuwa boss wa vijana Chadema kipindi kile. Sasa sijui atapangiwa kazi gani maskini 🤔🤔Alikuwa anaumwa huu ugonjwa mpya bwana. Nasikia dem wangu Jojo kaondoka na mtu huko Kisa cha Rawe
[emoji51][emoji51][emoji1787]Mweeeeeeeeh makubwa uwiiiiiiiih, Mji mzito huuu khaaa.
Anajua kuwa amefariki ila hajuia chanzo cha kifo chake,halafu kujua chanzo cha kifo cha mtu ambae wewe si mwanafamilia au ndugu yake si ishu.Utatoaje taarifa ambayo huijui
Uwiiiiiiiiiiih kumbe huu ubuyu unao? Mwenyewe nmebaki [emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]Alikuwa anaumwa huu ugonjwa mpya bwana. Nasikia dem wangu Jojo kaondoka na mtu huko Kisa cha Rawe
Dea mjini pazito, heri ushinde njaa sio kukosa bundle, maan mambo n mengi af muda hauruhusu, tunakimbizana nayo hivyo tyuuuh[emoji51][emoji51][emoji1787]
Alitaka kumla disii akasahau kuna ambavyo haviliwi. Ndiyo maana leo mzee alikuwa full kanunaMtela aliekuwa boss wa vijana Chadema kipindi kile. Sasa sijui atapangiwa kazi gani maskini 🤔🤔