TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Chanzo cha kifo sio lazima kuwa public
Kwa nini?Logically kuna umuhimu wa chanzo cha kifo kuwa public ili kusaidia watu wengine kuwa salama pia.Kwa mfano kama katika nchi fulani watu wanakufa kwa Corona inapotangazwa kuwa watu wanakufa kwa Corona inasaidia sana watu kuongeza tahadhari na kuwa makini zaidi!
 
Ndiyo nina utu,ndo maana nimeumia fala mmoja kutoa mkewe kafara kisa ubunge. Bora ukose mali ila usikose Hekima.
Siamini kama ww una akili kama hizi dah nilikuwa nakuheshimu...........haya yote mitihani husiombee ikukute RIP Shammy.

Shammy nilikuwa namwonaga pale Tabata Magengeni na saloon yake ya kusafisha kucha.
 
Back
Top Bottom