TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

naomba niandike kitu kwa herufi kubwa yaani msisitizo. JAMANI HAPA NAAMINI KABISA HUYU JAMAA KAHUSIKA KAMA KAFARA,MNASHANGAA HILI MNGESHANGAA LA MWAMPOSA KUTOA KAFARA LA WATU 20 KULE MOSHI..MWAKA FULANI NILIKAA SEHEMU NA MSHIKAJI WANGU TUNAPIGA STORY NA MENEJA FULANI WA MZIKI MJANJAMJANJA ALIYEKUWA WA KWANZA KUMTOA MSANII NAMBA MOJA WA BONGO FLEVA KATIKA STORY JAMAA ALIKUWA ANASIKITIKA SANA JUU YA MWANADADA MDANGAJI KIPINDI HICHO ALIYEANZIA KWENYE MOVIE KWA SASA ANAJULIKAN KAMA MIMBAJI INGAWA AAFAKE FAKE TU MZIKI WENYEWE PIA ANAJULIKANA KWA UJASIRIAMALI WA KUPIKA MISOSI,MENEJA HUO ALIMPELEKA MWANADADA HUKO NDANINDANI KWA MGANGA MAARUFU ALIYEMUAMBIA AMTOE BINTI YAKE KAMA KAFARA NA DADA ALIKUBALI KWA MOYO MMOJA HUYU BWANA MENEJA AKAMUAMBIA MGANGA TUTARUDI,WALIVYOONDOKA AKAMUAMBIA MWANADADA SIHUSIKI KWENYE HILI DEAL,BINTI BADO YUPO HAI SIJUI BADAYE ALIMTOA NANI KAFARA MAANA MAMBO YAKE KWENYE MISOSI SIYO MABAYA
NIWAKUMBUSHE PIA MBONGO FLEVA NAMBA MOJA NA KISA CHA BIBI YAKE WANAOJUA HIYO STORY SIYO SIRI BIBI ALIDANJISHWA YUKO KWENYE VIDEO YAKE YA KWANZA ILIYOMTOA
Kisa Mjengoni october[emoji24][emoji24][emoji2307]
 
Kwanamna nijuavyo mke anauma sana tena sana. Ni ajabu na kweli katika hali hii mtu yuko busy na simu wakati wa msiba. Mke ananiachia watoto wanne...Nawaza watoto wanakua bila Mama, Nawaza ni nani atakayefit kunisaidia kuwalea hao watoto. Sidhani hata mama ataweza hili..Nimewaza sana na kuconclude ya walimwengu, sometimes usikute yana ukweli mtupu.

Picha kwa hisani ya Dar_story IG Account
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20200628_170027.jpg
 
Back
Top Bottom