TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Sawa! Inaonekana wewe unajua sana embu tupe taarifa kamili.
 
Vipi? Ni changamoto za upumuaji!?!
Nilicheki video moja youtube yule dogo Z Anto alisema kifo chake kimesababishwa na uvimbe kwenye njia ya upumuaji. So I guess ni futa hilo.
noma sana
 
Mke hatumiki kwenye kafara za utajiri...watoto na wazazi wako labda kwa mbaali ndugu wa kuzaliwa tumbo moja...cc Mshana
 
Kwani uchungu una upimaje?
Ulitaka muda wote atoe machozi?
Alie huku anagala gala?
Au ulitaka azimie ndio useme kaguswa na msiba?

Mbona mnakuwa waswahili nyinyi,nyinyi ndio wale baada ya msiba nmnaanza kwenda kwa mganga kwenda kupiga bao kujua kama ndugu yako kafa kweli au msukule,ndio kwa akili zenu watu kama nyinyi Gwajima aliwageuza mtaji wa kupiga hela na kutengeneza brand la kanisa lake.

Hivi hushaudhuriaga misiba ambayo wafiwa wanapiga bia muda wote,hawa nao mtasemaje?

Kama hujui kuna wengine uchungu wa Msiba unaanza baada ya kuzika na kuna wengine wapo cool,ila ndani ya vifua vyao kuna maumivu ya uchungu husio pimika.

Yaani mtu kushika simu ndio mnashangaa,mimi jana jamaa yangu kazika baba yake Kigamboni muda alikuwa na simu anachat na sisi na yy ndiye aliye tuelekeza msibani na michango tumemtumia kwenye simu.

Huu uhuru tuliopewa na JF tusiutumie kuwadhalilisha au kuwaumiza wengine kihisia,kisa sababu ya hisia zako za kijinga.

Nyie mlitaka Babutale aomboleze vipi?
 
Wee hujui chochote kaa kimya tyuuh, kwan unataka wote tuwe na mtazamo sawa? Amini unavoona kwako n sawa, na pia me vilevile, aaaaah yaan msiba wa mke uwe bizze na kuchat khaaaah damon lol.
 
Mbinafsi sana. Yaani yupo tayari kwa lolote hadi kutoa uhai watu wake wa karibu kisa afanikiwe. Sasa kwa asivyo na akili anafikiri atashinda ubunge.
Hivi sikuhizi Hadi vilaza wanakimbilia ubunge eeeh, bunge litavamiwa aisee, Kama kamtoa huyo shammy sadaka naomba Mungu aukose huo ubunge, hafu Hawa kina babu tale na wcb sihujifanya Mambo Safi, au mziki hauna hela?
 
Jamani kaumia Sana, sema anajikaza
 
Ingia YouTube dear mi naona analia tu

Sema anaogopa camera sana
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…