Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hapa ndio kwa kina Shamsa?Kabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwao View attachment 1492220
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio kwa kina Shamsa?Kabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwao View attachment 1492220
Kwa kita Babu Tale.Hapa ndio kwa kina Shamsa?
Sawa! Inaonekana wewe unajua sana embu tupe taarifa kamili.Kwa hiyo na wewe ndugu zako waliokufa tuseme wewe ndo umewaua au sio??
Au wewe ukifa pia tuseme ni ndugu zako hao wametenda.
Maana kila nafasi itaonja mauti, kwenye kifo hakuna aliye bora kuliko wenzie, haijalishi uwe ni Rais wa Nchi, Mtu Mashuhuri, Masikini, Mtoto etc.
Na kifo hakina kujali umri eti kiseme wewe bado mdogo basi kwa kikuache mpaka uzeeke, hapana!
Nilicheki video moja youtube yule dogo Z Anto alisema kifo chake kimesababishwa na uvimbe kwenye njia ya upumuaji. So I guess ni futa hilo.Vipi? Ni changamoto za upumuaji!?!
Kwani uchungu una upimaje?Ila dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
Wee hujui chochote kaa kimya tyuuh, kwan unataka wote tuwe na mtazamo sawa? Amini unavoona kwako n sawa, na pia me vilevile, aaaaah yaan msiba wa mke uwe bizze na kuchat khaaaah damon lol.Kwani uchungu una upimaje?
Ulitaka muda wote atoe machozi?
Alie huku anagala gala?
Au ulitaka azimie ndio useme kaguswa na msiba?
Mbona mnakuwa waswahili nyinyi,nyinyi ndio wale baada ya msiba nmnaanza kwenda kwa mganga kwenda kupiga bao kujua kama ndugu yako kafa kweli au msukule,ndio kwa akili zenu watu kama nyinyi Gwajima aliwageuza mtaji wa kupiga hela na kutengeneza brand la kanisa lake.
Hivi hushaudhuriaga misiba ambayo wafiwa wanapiga bia muda wote,hawa nao mtasemaje?
Kama hujui kuna wengine uchungu wa Msiba unaanza baada ya kuzika na kuna wengine wapo cool,ila ndani ya vifua vyao kuna maumivu ya uchungu husio pimika.
Yaani mtu kushika simu ndio mnashangaa,mimi jana jamaa yangu kazika baba yake Kigamboni muda alikuwa na simu anachat na sisi na yy ndiye aliye tuelekeza msibani na michango tumemtumia kwenye simu.
Nyie mlitaka Babutale aomboleze vipi?
Saivi mbona yote yanatoka wazi kaa utulie uone mambo, chezea tale weyeeee, ubunge mtam bhana aaaahMbona sielewi hizi msg za Huyu dada marehemu kwa watu akiwaomba wamsaidie kulea watoto wake? It means alijua atakufa?
Kwa hiyo sababu kachat ndio kamtoa mke wake kafara?Wee hujui chochote kaa kimya tyuuh, kwan unataka wote tuwe na mtazamo sawa? Amini unavoona kwako n sawa, na pia me vilevile, aaaaah yaan msiba wa mke uwe bizze na kuchat khaaaah damon lol.
Hivi sikuhizi Hadi vilaza wanakimbilia ubunge eeeh, bunge litavamiwa aisee, Kama kamtoa huyo shammy sadaka naomba Mungu aukose huo ubunge, hafu Hawa kina babu tale na wcb sihujifanya Mambo Safi, au mziki hauna hela?Mbinafsi sana. Yaani yupo tayari kwa lolote hadi kutoa uhai watu wake wa karibu kisa afanikiwe. Sasa kwa asivyo na akili anafikiri atashinda ubunge.
Inabidi apakarabati na anunue pazia zuri, na stuliKabisa.Nimeshangaa kuona hapa ndo kwao View attachment 1492220
Maskini shammy Kama aliona haponi Hadi akamuomba joketi, na makonda wamulelee wanawe
Unajua hakuna Siri duniani....muda ni jibu sahihi
Kikubwa uzima tu.
Yani picha alopost makonda shammy alikuwa amekata tamaa kabisa, nakuomba wamsaidie kulea wanaweMbona sielewi hizi msg za Huyu dada marehemu kwa watu akiwaomba wamsaidie kulea watoto wake? It means alijua atakufa?
Hasa ccm! Ndio maana nchi haiendelei kwa sababu tunaongozwa na wachawiWanasiasa 98% wanashiriki hii taboo
Kamuulize makonda kipi kilimsibu shammy hadi akaenda kwake kuomba protection ya wanae km akifariki, tena kwa msititizo juu pa1 na mam keegan.Kwa hiyo sababu kachat ndio kamtoa mke wake kafara?
Jamani kaumia Sana, sema anajikazaIla dea jaman tuache unafiki wee angalia reaction ya tale kweny huu msiba, yaan hata haoneshi kuguswa mda wote anazurura tu,
kaniacha hoi hapo wakati kutaka safari ya kuelekea Moro ianze, yeye anazurura barabaran huku akitafuta pikipiki yenye king'ora ianze kutangulia, aaaaaah
Ingia YouTube dear mi naona analia tuKufiwa na mtu wa karibu nimewahi, na hali yake naijua, ila tale hapan haoneshi hata km yeye n mfiwa, jaman akili kuruka ndio vile khaaaah, si atulie utaratibu unaendeshwa km ilivyopangwa. Jana imetumwa clip mtandaon yupo bize na cm tyuuh. Khaaah hadi watu wakawa wanahoji.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848]Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.