TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Hivi sikuhizi Hadi vilaza wanakimbilia ubunge eeeh, bunge litavamiwa aisee, Kama kamtoa huyo shammy sadaka naomba Mungu aukose huo ubunge, hafu Hawa kina babu tale na wcb sihujifanya Mambo Safi, au mziki hauna hela?
WCB ni washirikina tu wote sema Kiba hapendi kujionyesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ripota kutoka msibani [emoji3]
 
ml
Kwenye msiba wa Ruge Nakumbuka Tale Salam na Diamond walitoa post za vicheko na kebehi as if walifurahia Hilo tukio. Sasa leo Tale kaonja uchungu wa kufiwa. Hata Kama unamchukia mtu usifurahie kifo chake. Leo Salam kakataa mkono wa Harmonize Ni chuki gani hiyo.
 
Ripota kutoka msibani [emoji3]
Lazima ukiwa msibani kuna vitu vingine unaangalia kama vipo sawa na unaonesha utaratibu upoje, siyo umekaa na kwa dar wahuni wanabeba gari inapitishiwa kwa juu ukutani
 
Sitaki umbea Jaman uwii , ebu Ngoja nikae vzur warumi Mie , mdomo koma Jaman , Sijui tuvumilie had shoga kidawa azikwe maana umbea huu mmh
Tupe habari Warumi mpendwa dada aneshapumzishwa tayari. Eheeee!
 
Wee hujui chochote kaa kimya tyuuh, kwan unataka wote tuwe na mtazamo sawa? Amini unavoona kwako n sawa, na pia me vilevile, aaaaah yaan msiba wa mke uwe bizze na kuchat khaaaah damon lol.
Yaan yetu macho tyuuh, na asipopata ubunge atatumia kwa namna nyingne maan fursa yeye si anazo nyingi.
Mkuu, punguza, punguza. kua na wasiwasi sio vibaya, ila kushudia jambo ambalo hujaliona ni vibaya sana, mimi nimemuona Tale anashusha kilio haswa , tena sio kile cha kiume cha kulia kimya kimya hata jirani yako uliekaa nae hasikii labda ashtukie chozi , nimeona anapiga ukunga haswa,

kua na wasiwasi it's fine..ila hayo mengine si sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…