Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Michepuko yako inakusumbua kiasi hicho ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipangaspecial unachekesha watu walioko msibani [emoji3][emoji3][emoji3]
Asikwambie mtu michepuko ni ubatili mtupu [emoji108][emoji108][emoji108]
Ni sawa na kujilisha upepo!
Maisha kwa mke mmoja wa ujanani hadi uzeeni inawekana kabisa kwa msaada wa Mungu!
Actually kuna watu wala hawana Mungu mioyoni mwao lakini dhambi ya uzinzi na uasherati haiwasumbui hata kidogo!
Tunahitaji ukombozi wa fikra!