TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Michepuko yako inakusumbua kiasi hicho ?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kipangaspecial unachekesha watu walioko msibani [emoji3][emoji3][emoji3]

Asikwambie mtu michepuko ni ubatili mtupu [emoji108][emoji108][emoji108]

Ni sawa na kujilisha upepo!

Maisha kwa mke mmoja wa ujanani hadi uzeeni inawekana kabisa kwa msaada wa Mungu!

Actually kuna watu wala hawana Mungu mioyoni mwao lakini dhambi ya uzinzi na uasherati haiwasumbui hata kidogo!

Tunahitaji ukombozi wa fikra!
 
Dini za wakoloni zinaendesha maisha yako.
 
Dini za wakoloni zinaendesha maisha yako.

[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama kuzifuata kunanipa faida nyingi zaidi kuliko hasara in both quantitatively and qualitatively basi wacha ziendeshe maisha yangu maana inanipa assurance ya sasa na baadae!

Imeandikwa:

“Aziniye na mwanamke hana akili kabisa , afanya jambo Litakalo jeruhi nafsi yake na litakalo dhuru nafsi yake!”

Yani mzinzi ni mtu mjinga hata kama ni msomi wa PhD
 
Okay
 
Depression hiyo nilipoona picha ilowekwa na Makonda nikajua moja kwa moja hakuwa yeye kuna ndugu yangu alipitia mapito hayohayo
 
Nilikujibu km unaona nna mawazo au fikra mbaya, wee niache tyuuh deal na watu ambao unaona mnaendana mitazamo, sasa huku kuendelea kukinzana inaonekana wote tupo sawa, sorry kaka ts Jf, Relaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaax
 
Depression hiyo nilipoona picha ilowekwa na Makonda nikajua moja kwa moja hakuwa yeye kuna ndugu yangu alipitia mapito hayohayo
Depression Ni mbaya na inaua haraka sana. Nimemkumbuka Amina Chifupa alivyokufa kwa depression. Sasa sijui Shammy wa watu depression ilitokana na Nini.
 
Depression Ni mbaya na inaua haraka sana. Nimemkumbuka Amina Chifupa alivyokufa kwa depression. Sasa sijui Shammy wa watu depression ilitokana na Nini.
Ndoa zina mambo mengi sana,alishamtuhumu mumewe kumtesa kwa kukosa uaminifu huwezi jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…