TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Sasa we unawajua sana wale?
Alikufa Mwanahawa na Ali Zungu (Ali Taletale) walifuatana sana kiasi mpaka Madee akatunga wimbo wa Kazi yake Mola na ndani akayataja majina hayo. Huyu mwanahawa aliacha mtoto mdogo sana Ibra Modo nadhani sasa hivi atakuwa mkubwa sana. Kasikilize kazi yake Mola ya Madee kuna sehemu anaimba "Ibrah modo anauliza, mjomba Idd kwani mama yupo wapi? nanibidi kudanganya huku sitaki" Idd kwa sasa yuko Sweden.

Baadae akafa Zai, Zai alikua dada yake na Idd kwa uzazi. Alienda kuzikwa Moro pia. Miaka kadhaa imepita. Akaja Abdu Bonge na sasa mke wa Babu Tale.

Mi siamini chochote naona ni vifo tu natural.
Huyo atahamia kwa watoto sasa, mwanamke ungejua waenda waolewa kwa washirikina ungebadili gear angani
 
Yaani hii ya Kafara ilisemwa muda tu siku tu mkewe alifariki. Tena alielezea vizuri tu. Huenda ni mtu alijua hiyo issue maana itakuwa ili leak. Ila kama kweli amamtanguliza mke ili apate Ubunge basi laana imtafune tu
 
Huyo atahamia kwa watoto sasa, mwanamke ungejua waenda waolewa kwa washirikina ungebadili gear angani
Dea umeona huko shammy kashaanza utekelezaji wa majukumu aliyopewa. Maskiniiiiih lol
 
Kwenye msiba marehemu alipigwa " chain" wakati WA kuagwa Yani kuagwa Kwa kuzungukwa. Hii ni ishara kubwa na nzito Sana katika Uchawi. Maana yake ni kwamba hiyo chain ya kafara is unbreakable

Tarajieni kusikia mengi
 
Mmmmh ,asee
 
hebu fafanua vizuri mkuu hii inafanywaje?
 
Dea umeona huko shammy kashaanza utekelezaji wa majukumu aliyopewa. Maskiniiiiih lol
Nimesikitika Sana Kuna mtu alikuwaga na mafanikio ya hivo kateketeza ndugu na kuwapoteza siku Mambo yalivo buma alifilisika mpaka leo.
 
Kwenye msiba marehemu alipigwa " chain" wakati WA kuagwa Yani kuagwa Kwa kuzungukwa. Hii ni ishara kubwa na nzito Sana katika Uchawi. Maana yake ni kwamba hiyo chain ya kafara is unbreakable

Tarajieni kusikia mengi
Kupigwa chain kiaje na waliomuaga walijua kuwa Hilo ni kafara au?
Na kwanini hyo chain ni ubreakable
 
Mambo mengine yatakuzonga na kujitia hofu tu rafiki, mtumainie Mungu na hakikisha haujiingizi kwenye mambo ya giza.
I'm curious tu kufahamu Mambo mengi mapya, Mimi ushirikina siuogopi kabisa huwa nashangaa waja wanaotumia hayo Mambo.
 
Utaishia kudanganywa tu. Namie nipo mdadisi ila naangalia udadisi wa kitu gani. Hakuna kitu utaambulia hapo.
 
Nimesikitika Sana Kuna mtu alikuwaga na mafanikio ya hivo kateketeza ndugu na kuwapoteza siku Mambo yalivo buma alifilisika mpaka leo.
Ndio mara nyingi mwisho huwa hivyoooh
 
Back
Top Bottom