TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Pia katika wimbo wa Kazi yake Mola WA Madee wale wote ni familia ya Babu Tale. Jamaa kapata mitihani mikubwa Sana. Kupoteza watu wengi kiasi hicho ndani ya muda mfupi sio Jambo rahisi
Fanya tu kusikia haya mambo!
 
Kwahiyo kila kijana anaekufa anakuwa amekufa kwa ushirikiana Kama hajafa kwa HIV, accident au pandemic disease!... Basi hii nchi ina vijana wa hovyo wenye akili fupi sana.
Wewe ndo wa hovyo unakrupuka , jitahd uwe positive Kwanza kabla ya kuruhusu negativity kuongoza ubongo wako wenye kamasi
 
Yaani mkewe kaugua kima ajabu,ukiona mke alikuwa anaomba misaada kwa watu wamlelee wanae incase akifa. Hapa inaonyesha kabisa Tale hafai. Mwanamke anaemwamini mmewe hawezi kwenda kwa kina Makonda akaongee vitu kama hivyo. Tale ni loser mshirikina mkubwa.

Yaani nimeogopa sana text yake aliyomtumia Jokate, aiseee, nimefikiria sana
 
ELIMU NI MAARIFA MAPYA YA KITU CHOCHOTE KILE UNACHOJIFUNZA.
inaweza kuwa Uwindaji, Uchongaji, Upishi, Ujenzi, Carpentry, Ufundi Magari, Ufundi Nguo, Ukulima etc.
Tatizo lako wewe ni kwamba ukisikia tu neno Elimu, basi wewe akili inawaza Kalamu, Karatasi, Daftari, Kitabu, Uniform etc.
Turejee kwenye hoja yako, Aliyegundua MOTO sio sahihi kusema kwamba hakuwa na ELIMU, si kweli.
Aliyegundua MOTO alikuwa na ELIMU ya mambo mengine inawezekana ikawa UWINDAJI, etc. Maana Kihistoria jamii za kale zilifundisha WATOTO wao ELIMU kama za Uwindaji, Ukusanyaji Mali, Vita etc.
Kihistoria ugunduzi wa moto ilikuwa ni matokeo yaliyokuja bila kukusudiwa. ( Kihistoria lengo kuu la aliyegungua moto halikuwa kugundua MOTO bali kufanya vitu vingine, na kwenye vitu hivi vikazalisha moto.
My Point is, ELIMU ni Maarifa ya kitu chochote.
Katika MODERN WORLD tunaigawa ELIMU katika ELIMU RASMI (formal education) na ELIMU ISIYO RASMI (informal education)
Formal Education ni elimu ya darasani ambapo mtu anafunzwa kufata kanununi na mbinu zilizobuniwa na wengine ili zisaidie mtu kumudumu mazingira yanayomzunguka (ulimwengu). ELIMU ya kutunza kumbukumbu kwa kuandika na kusoma.
Informal Education, ni elimu isiyohitaji kujua kuandika au kusoma. Ni elimu ya kujifunza vitu kupitia watu wanaokuzunguka na haihitaji utunzaji wa kumbukumbu kwa kuandika na kusoma.
ili ufanye vitu kiubora ni shurti uwe na MAARIFA NA UJUZI (Ujuzi nao ni ELIMU, na Maarifa ni elimu pia vile vile.)
Hapo utagundua kila mtu na ELIMU (maarifa) yake, iwe mtu ni Fundi Mechanics, Fundi Gereji, Fundi Ujenzi, Fundi wa Electronics, Fishing, Ukulima, hata Upishi nao huhitaji elimu (maarifa na ujuzi).
NDO MAANA TUNASEMA ELIMU (KUJIFUNZA) HAINA MWISHO, SABABU VITU VYA KUJIFUNZA VIPO VINGI NA HAKUNA MTU ANAYEJUA KILA KITU DUNIANI.
Hana cheti cha form four haajiriki!
 
Hana cheti cha form four haajiriki!
sio lazma kila mtu aajiriwe, Wengine wataajiriwa ila wapo Wengine wataanzisha Business Ventures zao wao wenyewe na watajiajiri wenyewe na pia wataajiri wengine.
Maana tukitaka kila mtu awe na mawazo ya kuajiriwa tu, basi makampuni binafsi yasingekuwepo Tanzania, Sababu Kampuni Binafsi nyingi zimeanzishwa na watu waliojiajiri wenyewe.
 
ELIMU NI MAARIFA MAPYA YA KITU CHOCHOTE KILE UNACHOJIFUNZA.
inaweza kuwa Uwindaji, Uchongaji, Upishi, Ujenzi, Carpentry, Ufundi Magari, Ufundi Nguo, Ukulima etc.
Tatizo lako wewe ni kwamba ukisikia tu neno Elimu, basi wewe akili inawaza Kalamu, Karatasi, Daftari, Kitabu, Uniform etc.
Turejee kwenye hoja yako, Aliyegundua MOTO sio sahihi kusema kwamba hakuwa na ELIMU, si kweli.
Aliyegundua MOTO alikuwa na ELIMU ya mambo mengine inawezekana ikawa UWINDAJI, etc. Maana Kihistoria jamii za kale zilifundisha WATOTO wao ELIMU kama za Uwindaji, Ukusanyaji Mali, Vita etc.
Kihistoria ugunduzi wa moto ilikuwa ni matokeo yaliyokuja bila kukusudiwa. ( Kihistoria lengo kuu la aliyegundua moto halikuwa kugundua MOTO bali kufanya vitu vingine, na kwenye vitu hivi vikazalisha moto.
My Point is, ELIMU ni Maarifa ya kitu chochote.
Katika MODERN WORLD tunaigawa ELIMU katika makundi mawili (2) :-
• ELIMU RASMI (formal education)
• ELIMU ISIYO RASMI (informal education)
Formal Education ni elimu ya darasani ambapo mtu anafunzwa kufata kanununi na mbinu zilizobuniwa na wengine ili zisaidie mtu kumudumu mazingira yanayomzunguka (ulimwengu). ELIMU ya kutunza kumbukumbu na maarifa kwa kuandika na kusoma.
Informal Education, ni elimu isiyohitaji kujua kuandika au kusoma. Ni elimu ya kujifunza vitu kupitia watu wanaokuzunguka na haihitaji utunzaji wa kumbukumbu kwa kuandika na kusoma.
ili ufanye vitu kiubora ni shurti uwe na MAARIFA NA UJUZI (Ujuzi nao ni ELIMU, na Maarifa ni elimu pia vile vile.)
Hapo utagundua kila mtu na ELIMU (maarifa) yake, iwe mtu ni Fundi Mechanics, Fundi Gereji, Fundi Ujenzi, Fundi wa Electronics, Fishing, Ukulima, hata Upishi nao huhitaji elimu (maarifa na ujuzi).
NDO MAANA TUNASEMA ELIMU (KUJIFUNZA) HAINA MWISHO, SABABU VITU VYA KUJIFUNZA VIPO VINGI NA HAKUNA MTU ANAYEJUA KILA KITU DUNIANI.
Aisee kweli, kuna mshkaji mmoja ni fundi magari ana garage yake na anafundisha madogo mtaani kuhusu magari, pia kibongo bongo ana maendeleo freshi tu ( nyumba, gari n.k)..ila akishia piga masanga anaanza kutoa husia kwa madogo "pigeni kitabu, Mimi bro wenu sikusoma sina elimu, najutia sana..n.k" ... Sasa waga najiuliza huyu anataka elimu gani tena nyingine wakati ukimpelekea kindinga chako kibovu anakirekebisha freshi kabisa...kwanza binafsi siku hizi naona vyuo kama veta vinaumuhimu kuliko hata hivi vya peni na karatasi kwa saana
 
sio lazma kila mtu aajiriwe, Wengine wataajiriwa ila wapo Wengine wataanzisha Business Ventures zao wao wenyewe na watajiajiri wenyewe na pia wataajiri wengine.
Maana tukitaka kila mtu awe na mawazo ya kuajiriwa tu, basi makampuni binafsi yasingekuwepo Tanzania.
Kuajiriwa na kuajirika ni haki ya kikatiba kwa raia wote.

Wabunge wa ccm wamejipa haki ya kula keki ya taifa wao peke yao wengine eti tukajiajiri (why not them?)
 
Kila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa.

But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani?

NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu?

Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara?

Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!!

Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake.

MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
Sasa we unawajua sana wale?
Alikufa Mwanahawa na Ali Zungu (Ali Taletale) walifuatana sana kiasi mpaka Madee akatunga wimbo wa Kazi yake Mola na ndani akayataja majina hayo. Huyu mwanahawa aliacha mtoto mdogo sana Ibra Modo nadhani sasa hivi atakuwa mkubwa sana. Kasikilize kazi yake Mola ya Madee kuna sehemu anaimba "Ibrah modo anauliza, mjomba Idd kwani mama yupo wapi? nanibidi kudanganya huku sitaki" Idd kwa sasa yuko Sweden.

Baadae akafa Zai, Zai alikua dada yake na Idd kwa uzazi. Alienda kuzikwa Moro pia. Miaka kadhaa imepita. Akaja Abdu Bonge na sasa mke wa Babu Tale.

Mi siamini chochote naona ni vifo tu natural.
 
Familia ikiisha atahamia kwa watoto
 
Back
Top Bottom