Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kauli zake zikoje ?Kwa kuangalia kauli kama za babu tale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli zake zikoje ?Kwa kuangalia kauli kama za babu tale
Walokole akili zenu ziko mgongoni.Music industry inaongozwa na "illuminat"
Ila watu hawataki huo ndo ukweli ili ufanikiwe upande huo lzm ukubaliane nao,hutaki utasota na kupotea!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye ajali ndio balaa...kuna mafala wanatafuta vichwa kwa ajali mabarabarani huko...wanatumia pombe kama kisingizio kumbe wapo kazini...
Ndio maana nasema walokole ni wajinga Sana mnataka mnavyoishi nyie ndio kila mtu aishi.No,ingia insta clip za jana wanapoenda kuzika,utabaki unashangaa,utafikiri wanaenda kwny show!
Sent using Jamii Forums mobile app
cariha nisaidie kujibu hapaKauli zake zikoje ?
Uwiiiiiiiih sasa kwani ajabu n kipi km babu tale n mlozi? Alishakiri sana hadharan tena seriously, na ukweli ndio huu kamtoa mkewe kafara ili apate ubunge,cocastic nisaidie kujibu hili swali
Wasipokuelewa msemaji wa familia basi vichwa vyao vigumu sanaUwiiiiiiiih sasa kwani ajabu n kipi km babu tale n mlozi? Alishakiri sana hadharan tena seriously, na ukweli ndio huu kamtoa mkewe kafara ili apate ubunge,
Na kuthibitisha hilo aliweka kipande cha bendera ya chama chake ktk dirisha sehem ambayo mwili wa marehemu ulipofikia,
Ili zindiko lake liweze kukamilika hapo wakati husika.
Watajua wao kuelewa au kutoelewa, ila taarifa inatolewa tyuuh.Wasipokuelewa msemaji wa familia basi vichwa vyao vigumu sana
Sawa mjumbeWatajua wao kuelewa au kutoelewa, ila taarifa inatolewa tyuuh.
[emoji120][emoji120][emoji120]Sawa mjumbe
ELIMU NI MAARIFA MAPYA YA KITU CHOCHOTE KILE UNACHOJIFUNZA.Ukubwa wa akili ya mshauri sio kigezo cha ubora wa ushauri.
N:B ALIYEGUNDUA MOTO HAKUSOMA NA HAKUWA NA ELIMU YOYOTE.
(goma kutumia moto tukuone)
Tekeleza ushauri.
Mambo ni mengi
VipiMhh niliwah soma sehemu upande wa kina tale kunakuwa na vifo vya ajabu ajabu...rip dada
Muhimu kufahamu kama ni hujuma.Kila mtu anafiwa na hakuna mtu mwenye experience ya kufiwa.
But inapotokea mtu Fulani akawa anapatwa na misiba sana NI Jambo linalo fikirisha. Yafaa watu kuhoji kunani?
NI mipango ya Mungu au Kuna mikono ya watu?
Niliwahi kuandika hapa mbona ndugu yetu babu Tale anapatwa na misiba ya mara Kwa mara?
Isije ikawa NI maadui zake Wana mfanyia mambo ya kiswahili!!!
Anyways Babu Tale amefiwa na MKE wake.
MWENYEZI Mungu akutie nguvu Kaka na akupe subra katika kipindi hiki kigumu wewe pamoja ba watoto wako na amlaze Marehemu mahali pema peponi Amen
Eeh kumbe kafaraNdiyo nina utu,ndo maana nimeumia fala mmoja kutoa mkewe kafara kisa ubunge. Bora ukose mali ila usikose Hekima.