TANZIA Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale) afariki dunia

Unataka ujue chanzo cha kifo chake ili iweje?
Wewe jua kafa.
Unaelewa kuwa chanzo cha kifo kutangazwa huwa inasaidia watu wengine kuwa salama pia?.Unaelewa kuwa Kwa mfano kama katika nchi fulani watu wanakufa kwa Corona, inapotangazwa kuwa watu wanakufa kwa Corona inasaidia sana watu kuongeza tahadhari na kuwa makini zaidi?
 
Sio kweli

Ni ushabiki Tu

Hujikingi na aliyekufa, unajikinga na maafa, magonjwa na maadui

Tuache kukosa hata basic humanity
 
mzee una uhakika dayamondi alimtoa bibi ake kafara?
unauliza makofi polisi,unamkumbuka yule bibi mweupe kwenye nenda kamuambie?huyo domo siyo yeye hata mbele huko entertainment industry ni shida sana kaka,matajiri na wenye mafanikio ni mmoja katika laki moja aliye clean kuna clips zake huwagaanatingisha kichwa kama ana maruhani hivi,nitafungulia thread niweke na clips na za lil wayne ni the same kama vile kwa nukta kadhaa wanapoteza network halafu inarudi
 
fanya hivyo aisee
 
Mbagalaaq
 
Hebu andika tu sasa hivi
 
Ila haina UMUHIMU. Maana kama familia imeamua kukaa kimya nadhani tuwaache
 
Ingekua kupata pesa unamtoa mke basi tungekua tumefanya hayo kitambo,ushirikina wa damu inahusu damu yako ya kuzaa sio mke hata siku moja...angalia watu wote wenye pesa za ulonzi utaona kazika watoto na ndgu wakutosha ila sio mke
Weee unajidanganya sana, khaaaaah watu wanatoa hadi ndugu wa wake zao na wanafanikiwa kupata hela. Acha kabisa damu ya binadamu.
 

Dadeki Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…