Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
Kwa hiyo na wewe ndugu zako waliokufa tuseme wewe ndo umewaua au sio??Tulia wewe! Tuambie ukweli ni upi! BabU tale ana utajiri wa mapaka ama la?!
Au wewe ukifa pia tuseme ni ndugu zako hao wametenda.
Maana kila nafasi itaonja mauti, kwenye kifo hakuna aliye bora kuliko wenzie, haijalishi uwe ni Rais wa Nchi, Mtu Mashuhuri, Masikini, Mtoto etc.
Na kifo hakina kujali umri eti kiseme wewe bado mdogo basi kwa kikuache mpaka uzeeke, hapana!