Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.

IMG-20220513-WA0114.jpg
 
Hayo maoni mapya tofauti na ya tume ya warioba ni yapi. Hivi MaCCM mnajiuliza hizo pesa za Umma mnazochezea kuwalipa kikosi kazi kwa miaka 9 .
Na zile zilozotumika kwa Bunge la katiba, ni UHUJUMU UCHUMI na UHAINI MaCCM mnafanya?! mtalipa hili.
 
Haya yote si yalishafanyika kipindi kile cha Warioba?

WTF!!!
Ila kumbuka yaliyofanyika yaliliwa na panya buku wakisaidiwa na panyaroad,hivyo inahitajika kuunganisha vipande vilivyo sazwa kujua vilivyokuwamo Kwa uhakika na bila kuchakachuliwa kutoka Kwa rasimu ya katiba mpya ya mheshimiwa jaji mstaafu Mzee warioba🤔
 
Katiba mpya ni sasa..

Halafu huyo bibi kizee..ni mzenji ataongea ya zenji tupu..wakati zenji ni mkoa kama mikoa mingine.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.

View attachment 2223143

UWAZI KIKOSI KAZI CHA MABADILIKO YA KATIBA UNAHITAJIKA, BADALA YA KUJIFUNGIA WAKATI WA KUSIKIKIZA MAONI YA WADAU

Zoezi hili lingekuwa live / mubashara ingependeza sana maana wananchi wote wana maslahi mapana kuhusu wanachofanya hili jopo la Task Force.

Ama sivyo wananchi watafikiri kikosi kazi hiki kinamfanyia kazi maalum rais na chama chake tawala

Toka Maktaba
21 March 2022

Rais Samia: Kikosi kazi kimejihalalishia kufanya kazi na mimi miaka 9 iliyobaki​

 
UWAZI KIKOSI KAZI CHA MABADILIKO YA KATIBA UNAHITAJIKA, BADALA YA KUJIFUNGIA WAKATI WA KUSIKIKIZA MAONI YA WADAU

Zoezi hili lingekuwa live / mubashara ingependeza sana maana wananchi wote wana maslahi mapana kuhusu wanachofanya hili jopo la Task Force
Hili wazo la kukifanya kikosi kiwe mubashara ni zuri sana, wadau walifanyie kazi
 
Maccm akili zao hazina akili. Hayo maoni mapya tofauti na ya tume ya warioba ni yapi. Hivi MaCCM mnajiuliza hizo pesa za Umma mnazochezea kuwalipa kikosi kazi kwa miaka 9 .
Na zile zilozotumika kwa Bunge la katiba, ni UHUJUMU UCHUMI na UHAINI MaCCM mnafanya?! mtalipa hili.
Ushasema hayana akili unategemea yatajihoji hizo pesa za umma wanazochezea?
 
Hili wazo la kukifanya kikosi kiwe mubashara ni zuri sana, wadau walifanyie kazi

Tena haraka sana maana wanatumia kodi tulizolipa , zoezi hili linatakiwa kuwa live mubashara TBC na vituo vingine vya televisheni vya binafsi pia online tujue zoezi hili muonendo wake ni kwa manufaa ya wananchi wote au ni kwa ajili ya kakikundi cha watu wachache wa chama fulani na siyo kwa manufaa ya taifa letu na raia wote bila kujali vyama vya siasa.
 
Tanzania imesaini mkataba wa uwazi na hili zoezi la kukusanya maoni juu ya katiba linabanwa na mambo yaliyoridhiwa huko Geneva kuhusu haki

5 April 2022

TANZANIA KUPIMWA , HIVYO TUME YA UMOJA WA MATAIFA (UN) HAKI ZA BINADAMU YATUA TANZANIA
View attachment 2201304
Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya UN yatua nchini; hiki ndio wanachofanya kufuatilia ahadi ilizotoa Tanzania, pia serikali yabanwa na UN kuwa iwe wazi waTanzania wafahamu serikali yao iliridhia nini ktk masuala 252 iliyosaini na kuikubali kwa niaba ya wananchi



Timu ya umoja wa mataifa ainayoshughulikia Haki za Binaadamu na utawala bora imekuja nchini kujadiliana na Tume ya Haki za Binaadamu na utawala bora juu ya masuala mbalimbali yanayohusu haki za binaadamu ikiwemo haki za binaadamu katika wananchi kufahamishwa ni mikataba gani inayohusu haki za binadamu iliyoridhiwa na serikali ya Tanzania iliyoridhia huko Geneva Uswisi Ofisi za Kamishina wa UN wa Haki za Binadamu kama anavyotueleza Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora Nchini Tanzania Human Rights Council Adopts Outcomes of Universal Periodic Review of Saint Vincent and the Grenadines, Papua New Guinea, Tajikistan and Tanzania
 
wenzako njia ya uwani haioti nyasi
Nakumbuka baada ya Zitto kabwe kumuita Tundu Lissu Chiba,Fatma karume alimchamba sana Zitto

Eti mtu hajulikani ni kijana au mzee sura imekosa ushirikiano[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwenye picha hii naona wamekaa pamoja ,sijui wanajisikiaje wakikumbuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
23 March 2022
Geneva, Switzerland

Mikataba 252 ambayo Tanzania iliridhia na inayogusa haki zote ikiwemo UWAZI ni kama ifuatayo



Mh. George Simbachawene akihutubia UMoja wa Mataifa kuhusu haki haki na kuuhakikishia ulimwengu kuwa haki zote ktk awamu ya 6 zinazingatiwa



Tanzania yaridhia umri wa kuoa na kuolewa, mimba za utotoni, uhuru wa habari, kufunguliwa vya vyombo vya online pia magazeti, imeridhia mikutano ya vyama vya siasa kufanyika, kuna masuala 65 ambayo hayalingani na tamaduni, imani na desturi za Tanzania bado hayajakubaliwa, hukumu ya kifo, sheria ya makosa dhini ya watu wenye hali ya u albino, ukatili wa kijinsia, ....

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania was a strong proponent of the Universal Periodic Review mechanism which brought together State actors, civil society and development partners. As the Government pursued the goal of realisation of human rights for all Tanzanians, the recommendations were given the highest consideration. All 252 recommendations were disseminated to State and non-State actors, including the National Human Rights Institution as well as civil society, in both mainland Tanzania and Zanzibar. As a result of broad-based consultations, Tanzania had accepted to implement 167 recommendations, which were in compliance with the Constitution of the United Republic of Tanzania and the Constitution of Zanzibar.

The recommendations aligned with policies, laws and programmes which called for the promotion and protection of civil, political, economic, social and cultural rights, emerging human rights issues, anti-corruption efforts, environmental conservation and development priorities of Tanzania. The Government affirmed its commitment to implementing all the accepted recommendations, which had been deemed strategic and effective interventions for the promotion and protection of human rights. 65 recommendations had been noted; those were recommendations that were not in alignment with the Constitutions, policies, laws, traditions, beliefs and culture of Tanzania, or which required further consultations before making a conclusive decision. The Government strived to ensure that all Tanzanians were provided with equal civil, political, economic, social and cultural human rights.

Discussion

Speakers applauded the Government of Tanzania for progress made in strengthening its institutional frameworks for the promotion and protection of rights and fundamental freedoms. Strides had been made in the area of social development, including the introduction of fee-free primary education and remote learning during the COVID-19 pandemic. Speakers further commended Tanzania on the establishment of the National Commission for Human Rights, which was in accordance with the Paris Principles. Speakers noted steps taken to curb child labour, as well as the measures taken by the Government toward ensuring freedom of expression and the right to information, which included entering into dialogue with media practitioners and amending some pieces of legislation. Tanzania’s acceptance of close to 75 percent of the recommendations showed real commitment to further promoting and protect the rights of all persons on its territory. The acceptance of recommendations prioritised expenditures in health including specialised care and services for people living with albinism, as well as scaling up investment in education.

Other speakers took note of the challenges faced by Tanzania in implementing some of its human rights obligations under Article 12(3) of the African Charter which recognized the right to seek and obtain asylum in other countries, as well as the 1951 Convention relating to the Status of Refugees. Speakers regretted that Tanzania did not receive any recommendations on the rights of sex workers, urging the Government to repeal the Penal Code provisions criminalising acts associated with sex work, place a moratorium on the arrest and harassment of sex workers under vagrancy laws, and revise and harmonise national legislation in line with regional and international human rights instruments. Tanzanian authorities continued to weaponise the law to target the opposition and critical voices, using non-bailable offence provisions under the Criminal Procedure Act to detain people for unreasonable periods of time. The State should ensure accountability for election-related human rights violations and guarantee post-election human rights reforms to reverse the Government’s increasing repression and crackdown on civic space.

The Vice-President of the Council informed that out of 252 recommendations received, 167 enjoyed the support of Tanzania, while 65 had been noted. Additional clarification was provided on 20 recommendations, indicating which parts of the recommendations were supported and which parts were noted

Concluding Remarks

GEORGE B. SIMBACHAWENE, Minister of Constitutional and Legal Affairs of Tanzania, said Tanzania continued to accord great significance to the Universal Periodic Review, as it played a key role in the promotion and protection of human rights in the country. Tanzania was committed to implementing the accepted recommendations, as they would have a direct impact on the realisation of human rights and sustainable development of the country. The Universal Periodic Review was a continuous process, and the Government would continue to address the remaining challenges through dialogue, in collaboration with all stakeholders. It would also continue to strengthen its internal mechanisms and promote engagement with all non-State actors and development partners. The Government, under the stewardship of Tanzania’s first female President, would meet the aspirations and objectives of the Universal Periodic Review mechanism during the coming fourth cycle.



Link: Conseil des droits de l’homme : Examen périodique
 
Back
Top Bottom