Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Devide them and Rule !
Haka ka-principal ketu tunakapendaga sana !!
Na mafala huwa wanaingiaga kichwa kichwa !!
😅😅😎🙏🙏
 
Tunasemaga Zimwi likujualo halikuli likakwisha !!
Sie wazanzibari bhana ! 🙏
 
Salum Mwalimu pia kuna walakini..
 
Salum Mwalimu pia kuna walakini..
Hawa ndugu zetu waislamu baadhi yao huwa siwaelewi kabisa, sijui wapo kimaslahi au ni nini! unajua kabisa changamoto ya chama hicho+udini n.k na bado unang'ang'ana kufanyanao kazi! Muislamu anaejitambua hawezi kufanyanao hao watu.

Tusomeni dini ndugu zangu Waislamu

Hawatakua radhi nasi mayahudi na wakristo mpaka tufuate mila zao
 
Swala la CDM na udini ni la siku nyingi,ila kwa kuwa wametoa ushuzi wao imebidi watanzania wenye kukemea watakumbushe kuhusu hii dhambi ya chadema
Ndio maana nikauliza, Shangazi yenu kaanza kuliona lini hili?
 

Shangazi yenu. 😆 🤣 😂
 
Si Fatma tu , yoyote anayetoa madai yenye hisia za udini ana wajibu wa kueleza, kufafanua au kutetea hoja zake kwa ushahidi na vielelezo, sijui kama Fatma amenukuliwa nusu nusu. sina uhakika
Naunga mkono hoja, mtu akitoa tuhuma, aweke na ushahidi. Hili la udini Chadema, ni tatizo, angalia mimi nilianza kulizungumza lini na ushauri nikawapa!. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! Zitto Kabwe alipotaka kugombea Uenyekiti
wa Chadema alipingwa kwa nguvu zote ndani ya Chadema kwasababu ya dini yake!, mpaka Ba Mkwe Mzee Mtey aliibuka!. Urais wa ZZK 2015 Kupitia Chadema: Kwa nini Wanatetemeka!, Kuweweseka! na Kutishika?!.

Hivyo tuhuma za udini Chadema zipo na tumeisha shauri sana humu
P
 
Pasko ni kichwa wewe
 
Hizo ni dalili za kukiogopa chama cha CHADEMA sasa! Tunatakiwa tushindane nacho kwa hoja zenye tija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…