Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Why chadema wakati hayo mnayoipakazia hayapo? Chadema ni chama cha kitaifa kama ccm. Sasa mpuliza vuvuzela wa ccm unadhani chadema wana hayo mambo? Je kama chadema ikafa kifo cha kisiasa kama vyama vingine vilivyokuwa tishio kwa ccm utapata hoja gani kuinangananga chedeama, au utahamishia propaganda zako chafu kwa chama kingine utakachoona ni tishio kwa ccm? Chadema haijafikia hali ya kuonesha udini kama chama fulani ambacho kilikuwa kinaonesha udini waziwazi hasa kwenye mikutano yake ya hadhara.
CCM walianza na CUF kuwa wameagiza majambia na wanayasambaza nchini! Madai hayo yakabuma. Wakaeavaa NCCR nako wakabuma, wakamvaa Mrema na TLP, Mrema kwenye uchaguzi wa urais akamshinda Mkapa, wakafuta matokeo na kuaanza kupiga kura upya kwa mafungu, upigaji kura huo ukaishia hewani bila matokeo, wakaamua kumpa Mkapa.
Chadema kila mbinu wakiijaribu inabuma, wamebaki na wabunge wasio na chama kinyume na sheria.
 
Sisi waislamu tutachagua CHADEMA na huyo bibi yenu Fatma ni muislamu jina na wa matukio.
Aseme yeye na mumewe ndio hawataichagua CHADEMA sio kutusemea waislamu wote.
Hatutaki ukhanithi wa kike sisi.
 
Fatma ajiandae kutukanwa kwasababu nyumbu huwa wanamuogopa mmiliki wao tu Mbowe. Hata yeye walishaanza kumtukana ikabidi awanywee mizinga kadhaa ya Konyagi na kwenda kuwanyea kwenye mkutano wa hadhara huko Mwanza. CHADEMA sio mbadala wa CCM na haitakaa itokee kuwa mbadala wa CCM. Wao washindane na ACT kugombea nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
Ccm sio chama Cha siasa, Bali ni kikundi Cha Dola kilichojivika koti la chama Cha siasa. Washindane na ACT kwani nchi hii kuna uchaguzi au maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura?
 
Halafu Wala lipumba hakusema ulivyosema,plus hakuna unayemtolerate,mmefanya upumbavu wenu tangu uhuru,mkihodhi serikali na haswa wizara ya elimu,Hadi padre akaiongoza,wakati wa harakati za uhuru mlikula mmejifungia na mapadre wenu wazungu mkiacha waislam wakianzisha vyama na kupush harakati,wazungu walipoondoka mkalia, waislam ndiyo waliovumilia miaka yote ya kupigwa Vita vya Imani na raia wenzao wajinga wanaodhani Wana akili
Rubbish
 
Alinunuliwa, chadema walikua wananunua waislam wenye majina na ma sheikh Kama ikiwezakana,ili kufunika udini wao

Duh! Pamoja na hayo yote ila bado udini na ukabila unawatesa, especially yule mchungaji wao LEMA, natamani siku moja aingie kwenye 18 za Profesa mazinge

Nawashauri hawa ndugu zangu, Salum mwalim na waislamu wenzetu mliopo huko uchademani nawashauri ondokeni haraka.
 
Hujui lolote, halafu wivu na chuki vinakusumbua dhidi ya CHADEMA chama kubwa, endelea kukasirika upate ugonjwa wa moyo ufe tuone kama ccm itakusaidia matibabu we fala.

Kwanza kabisa sina chama, but, ni heri ccm ikaendelea kutuongoza ingawa wana mapungufu yao. Ilaa sio chadema, tangu chama hicho kimeanzishwa nini cha maana kimefanyika!

Kanda ya ziwa na ukanda wa magharibi na kati asilimia kubwa ni ccm
Pwani ni ccm

Hata huko kwenu kaskazini wapo pia wa ccm.

Mimi niseme tu, hicho chama chenu cha kilutheri hakitaambulia kura za waislamu na kanda zote hizo nilizozitaja labda wachache sana.
 
Halafu Wala lipumba hakusema ulivyosema,plus hakuna unayemtolerate,mmefanya upumbavu wenu tangu uhuru,mkihodhi serikali na haswa wizara ya elimu,Hadi padre akaiongoza,wakati wa harakati za uhuru mlikula mmejifungia na mapadre wenu wazungu mkiacha waislam wakianzisha vyama na kupush harakati,wazungu walipoondoka mkalia, waislam ndiyo waliovumilia miaka yote ya kupigwa Vita vya Imani na raia wenzao wajinga wanaodhani Wana akili
Na mara tulipopata uhuru Mwalimu ambae alikuwa Mkatoliki alitaifisha shule na hospitali zote za waislamu ili wamisheni wenzake waweze kwenda shule na wapate tiba hospitalini?

Kwa jinsi tu ulivyoandika inaelekea ulikataa kwenda shule kwa sababu uliamini elimu dunia ni ya Vatican. Udini unawafanya wajinga.

Amandla...
 
Hiyo ilikua kekundu keusi anawachezea waislam,maana bila hivyo waislam ambao walikua na hela kuliko wakiristo wangejenga shule na kuelimishana,Sasa wakisoma tutwatenga vipi kwenye ajira za umma si tutazua zogo la udini!?..kuwadhibiti ni kutoruhusu shule binafsi, waislam walikua wanajenga chuo kikuu chang'ombe jirani na uwanja wa mkapa kupitia taasisi yao ya east African Muslims welfare society,rais akatoka ikulu kwenda kupambana na hiyo taasisi na kuunda bakwata,hizo shule za kanisa Wala hakutaifisha zote
 
Kumbe waislamu walikuwa matajiri kuliko wakristu wakati wa uhuru ndio maana Nyerere akataifisha shule zao ili wamisheni angalau nao waelimike! Of course, hakutaifisha shule za wamisheni maana zilikuwa chache mno. Alizotaifisha ni za waislamu ambazo zilijengwa na matajiri wa kiislamu pamoja na EAMWS.

Na alizuia ujenzi wa Chuo Kikuu cha waislamu pale Chang'ombe na mwisho wa siku wakristu wakakiuza kwa Vatican. Ili kuficha hiyo aibu Mkapa akawapoza waislamu kwa kuwapa chuo cha Tanesco Morogoro kama fidia ya uporaji wa Chuo Kikuu cha Chang'ombe.

Amandla...
 
hiyo ndio picha halisi ya fatma, ndio maana mzanzibar aliposhika urais tu, amefumba mdomo, na ushkaji na maria sarungu kwisha. ni mnafiki sana.
 
"Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!"

====

Fatma Karume akemea UDINI wa CHADEMA na kuvunja ukimya wa muda mrefu kuhusu chama hiki kuhusishwa na mlengo wa kidini.

Kawahakikishia hawatopata kamwe kura za waislam kwa siasa zao za udini.
Huyu Shangazi hili la udini kaanza kuliona lini?
 
Kumbe waislamu walikuwa matajiri kuliko wakristu wakati wa uhuru ndio maana Nyerere akataifisha shule zao ili wamisheni angalau nao waelimike! Of course, hakutaifisha shule za wamisheni maana zilikuwa chache mno. Alizotaifisha ni za waislamu ambazo zilijengwa na matajiri wa kiislamu pamoja na EAMWS.

Na alizuia ujenzi wa Chuo Kikuu cha waislamu pale Chang'ombe na mwisho wa siku wakristu wakakiuza kwa Vatican. Ili kuficha hiyo aibu Mkapa akawapoza waislamu kwa kuwapa chuo cha Tanesco Morogoro kama fidia ya uporaji wa Chuo Kikuu cha Chang'ombe.

Amandla...
Unajitia uchizi,mnapewa bil 300 kuendesha hospitali zenu badala ya serikali kujenga na kuboresha zake,kazi kufyonza hazina tu,viwavi
 
Back
Top Bottom