Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Kwa kuwa hospitali dawa hakuna, sukari hakuna, hayo yamesababishwa na Chadema?.

Waache udini, ubaguzi na ukabila, kile chama kilichojaza walutheri wabaki huko huko kaskazini, kanda ya ziwa na pwani haiwahusu mtaambulia ZERO, so urais mtausikia tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Aligombea kama Makamu au kama Rais.
Upo darasa la ngapi?Kipi usichoelewa.Yaani wewe ndio unajua kuliko hao waliokubali awe Rais baada ya JPM kufariki? Au kiswahili kinagomba?
 
Upo darasa la ngapi?Kipi usichoelewa.Yaani wewe ndio unajua kuliko hao waliokubali awe Rais baada ya JPM kufariki? Au kiswahili kinagomba?
We Tui la nazi, lini alipitishwa na chama chake ccm na kuchukua fomu ya kugombea Urais mara ya kwanza ili 2025 iwe mara ya pili maana hii ni serikali ya Magufuli anamalizia.
 
Tanzania ina idadi kubwa ya waislamu na hilo wanalijua, hivyo kamwe hawatapata wa kuwapigia kura. Kwanza hata yule salum mwalimu anashangaza sana kuendelea kufanyanao, utafanyaje kazi na watu waudini, ubaguzi na ukabila! Si bora ukae bila chama ufanye mambo yako kuliko kuwa chadema!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tanzania ina idadi kubwa ya waislamu na hilo wanalijua, hivyo kamwe hawatapata wa kuwapigia kura. Kwanza hata yule salum mwalimu anashangaza sana kuendelea kufanyanao, utafanyaje kazi na watu waudini, ubaguzi na ukabila! Si bora ukae bila chama ufanye mambo yako kuliko kuwa chadema!
Hujui lolote, halafu wivu na chuki vinakusumbua dhidi ya CHADEMA chama kubwa, endelea kukasirika upate ugonjwa wa moyo ufe tuone kama ccm itakusaidia matibabu we fala.
 
Wachovu nyie sema mmetukuta wakristo wa tanganyika tunawatolerate sana nyie vilaza thus why hatuangaiki na upumbavu wenu
FYI ccm haihitaji kampeni kushinda uchaguzi nadhani unafaham ilo yale aliofanya lipumbavu ilikuwa kiini macho cha demokrasia
Halafu Wala lipumba hakusema ulivyosema,plus hakuna unayemtolerate,mmefanya upumbavu wenu tangu uhuru,mkihodhi serikali na haswa wizara ya elimu,Hadi padre akaiongoza,wakati wa harakati za uhuru mlikula mmejifungia na mapadre wenu wazungu mkiacha waislam wakianzisha vyama na kupush harakati,wazungu walipoondoka mkalia, waislam ndiyo waliovumilia miaka yote ya kupigwa Vita vya Imani na raia wenzao wajinga wanaodhani Wana akili
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tanzania ina idadi kubwa ya waislamu na hilo wanalijua, hivyo kamwe hawatapata wa kuwapigia kura. Kwanza hata yule salum mwalimu anashangaza sana kuendelea kufanyanao, utafanyaje kazi na watu waudini, ubaguzi na ukabila! Si bora ukae bila chama ufanye mambo yako kuliko kuwa chadema!
Alinunuliwa, chadema walikua wananunua waislam wenye majina na ma sheikh Kama ikiwezakana,ili kufunika udini wao
 
CHADEMA hawawezi kupata kura za kundi lolote lile katika jamii lenye akili Timamu na linalojitambua.kwa sababu CHADEMA ni genge na mkusanyiko wa watu wasio na busara wala hekima wala adabu. Ni watu wanaofanya vitu kama vipofu na ndio maana chama kimekosa nuru na muelekeo kwa kuwa kinaongozwa na vipofu ambao akili zao zinawaza madaraka na vyeo tu. CHADEMA wapo tayari kushirikiana hata na shetani ilimradi wapate madaraka. CHADEMA wapo tayari kulipasua Taifa kwa Udini ,ukabila ,ukanda na hata kuchochea machafuko hapa nchini ilimradi wao wapate madaraka na vyeo.

Watanzania tunapaswa kuwapuuza CHADEMA na kuwakemea kabla hawajaharibu Taifa letu. Tuwakatae kwa nguvu zetu zote .kamwe tusiwaunge mkono kwa lolote lile .tuwaogope CHADEMA kama ukoma maana hawana dhamira njema na Taifa letu.
Hivi huwa huwezi kujibu kwa ufupi?
 
We Tui la nazi, lini alipitishwa na chama chake ccm na kuchukua fomu ya kugombea Urais mara ya kwanza ili 2025 iwe mara ya pili maana hii ni serikali ya Magufuli anamalizia.
Unadhihirisha ujinga wako.Anamalizia awamu ya 6 na kwa sababu ni zaidi ya muda wa miaka 3 anaruhusiwa kikatiba kuongeza miaka mingine 5 tu kukamilisha awamu mbili.Soma katiba kama unajua kusoma.Jambo dogo kulitafsiri linakupa tabu.Au ulikimbia shule?
 
Mkuu maisha ni magumu, bidhaa kama sukari na nyinginezo bei iko juu, na dukani hatuendi na kadi ya ccm, ili uuziwe bidhaa kwa bei ya punguzo kwa kuwa wewe ni ccm, haya yamesababishwa na Chadema?.
Hivi kenge wa mzee Mbowe ni nini wanajua zaidi ya kulaumu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Eleza alicholisema dhidi ya waisilamu na si usemi wa jumlajumla.
mie tena ni endeleze uchochezi?🐒

mie sio yeye 🐒

aelezee udini wake huko sio mimi kuelezea jambo hilo la aibu na la fedheha kwa Taifa 🐒

kuzungumzia dini isiyo kuhusu katika siasa ni kufilisika kwa hoja na mipango 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Why chadema wakati hayo mnayoipakazia hayapo? Chadema ni chama cha kitaifa kama ccm. Sasa mpuliza vuvuzela wa ccm unadhani chadema wana hayo mambo? Je kama chadema ikafa kifo cha kisiasa kama vyama vingine vilivyokuwa tishio kwa ccm utapata hoja gani kuinangananga chedeama, au utahamishia propaganda zako chafu kwa chama kingine utakachoona ni tishio kwa ccm? Chadema haijafikia hali ya kuonesha udini kama chama fulani ambacho kilikuwa kinaonesha udini waziwazi hasa kwenye mikutano yake ya hadhara.
 

"Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CHADEMA kitu muhimu sana. CHADEMA haiwezi kushinda Urais wa Tanzania bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!"

====

Fatma Karume akemea UDINI wa CHADEMA na kuvunja ukimya wa muda mrefu kuhusu chama hiki kuhusishwa na mlengo wa kidini.

Kawahakikishia hawatopata kamwe kura za waislam kwa siasa zao za udini.
Tucheni Wakristo, msituandame kwa kisingizio cha chadema, umefutiwa uwakili umeanza kujipendekeza, tunajua unataka kugombea Ubunge...
 
Fatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.
Huyu fatuma karume ni mnafiki na mpuuzi anaefikia kiwango cha juu kabisa cha usaliti.
Aliyekuwa akimjibu fatuma sii hata kiongozi wa ngazi yeyote huko chadema ila kwa sababu huyu bibi ameahidiwa ubunge wa viti maalumu na act ya zuberi ameamua kufanya kazi ya kipuuzi ya propaganda za 47 za ccm walizokuwa wakifanya kwa chadema na cuf enzi hizo.
Huyu bibi siku hizi ni mlevi wa kupindukia wa mvinyo baada ya kuvurugwa na Magu kwa kubomolewa ofisi zake za uwakili kwa kupigwa bomu na kunyanganywa leseni ya uwakili.
Wahuni wale walimfrasitiresi ndio hao hao wanaomlewesha pombe na kumfariji kwamba watamrejeshea walivyo mnyanganya.
 
Back
Top Bottom