Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Aa!!! Wapi huzo ni chuki zenu dhidi ya Nabii Lema.
nimepanda kamanda Salumu Mwalimu akihitubia angalau kuna ustaarabu kwenye uwasilishaji hoja zake...🐒
Hata hivyo anafanya mistakes na errors nyingi mno ambazo akiwa corrected na kuwa shapped vizuri na political doctorz, politically speaking anaweza kua miongoni mwa wanasiasa mahiri na makini sana siku za usoni 🐒

Lakini Nabii Jambazi ni shida mwanzo mwisho
 
Hebu tuachie Nabii wetu.
 
Fatma K Hana akili hata kidogo! Maoni binafsi ya Martin Maranja Masese kaya address kama ya CDM! Huu ni uzwazwa wa Hali ya juu! Fatma K anachochea UDINI.
Unajua nyie Chadema mnamuona MMM kama nani wenu huko Chadema?
Tatizo anachosema MMM ni sawa na Chadema imesema.
 
Hebu tuachie Nabii wetu.
hapana, hapana no hiyo haiwezekani..
Lazima anyoroshwe kwanza kwenye debe 🐒

Halafu kwenye ulimwengu wa Roho tutadeal nae kwa namna ya kipekee sana na lazma aache masuala ya udini na kujifanya yeye ni ndungu yake munngu🐒
 
Reactions: Tui
Shangazi Fatuma Karume itabidi tumuulize ili tupate ufafanuzi wa KINA kwenye hizi TUHUMA kwa maana ni NZITO.
hakuna tuhuma nzito hapo ni ukweli kabisa chadema wanahubiri udini sana....
Alianza Mwaipaya kuwananga waisilamu na viongoxi wa Bakwata

Hivi sasa lema na ubaguzi kwa waisilamu🐒
 
💯 🤝👍
 
Teuzi bado hazijakufikia? Yote uliyoyaeleza ni ya CCM
 
Nadhani anamjibu Lema aliyeropoka huko Arusha 😂🔥

Huyu lema wangempeleka Rwanda tu 🇷🇼 hatutaki watu wenye chuki za kidini, ukabila na ubaguzi.

Nitawashangaa sana wasukuma na wanyakyusa wakiwapigia kura chadema, nnavyowajua wasukuma huwa hawadanganyiki kirahisi.

Pwani ambayo asilimia kubwa ni waislamu, hawana time na chadema, mpo vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…