CHADEMA hawawezi kupata kura za kundi lolote lile katika jamii lenye akili Timamu na linalojitambua.kwa sababu CHADEMA ni genge na mkusanyiko wa watu wasio na busara wala hekima wala adabu. Ni watu wanaofanya vitu kama vipofu na ndio maana chama kimekosa nuru na muelekeo kwa kuwa kinaongozwa na vipofu ambao akili zao zinawaza madaraka na vyeo tu. CHADEMA wapo tayari kushirikiana hata na shetani ilimradi wapate madaraka. CHADEMA wapo tayari kulipasua Taifa kwa Udini ,ukabila ,ukanda na hata kuchochea machafuko hapa nchini ilimradi wao wapate madaraka na vyeo.
Watanzania tunapaswa kuwapuuza CHADEMA na kuwakemea kabla hawajaharibu Taifa letu. Tuwakatae kwa nguvu zetu zote .kamwe tusiwaunge mkono kwa lolote lile .tuwaogope CHADEMA kama ukoma maana hawana dhamira njema na Taifa letu.
Halafu cha ajabu hata wewe sina hakika kama una akili timamu. Hatuchagui chama kwa sababu ya mahaba kama Yako, ambayo hata wenzio wanatilia shaka uwezo wako wa kufikifiri, ndio sababu unebakia wewe tu kudaka kila kinachotupwa humu.
Tunachagua chama kitakachoondoa kero za kijinga ambazo ziko kwenye uwezo wetu kuzitatua na waliopo Sasa wameshindwa.
1. Kero ya umeme, Rais aliliambia taifa mwisho wa shida ya umeme ni machi 2024, bunge ambalo limejaa wanaccm limeonyesha mashaka juu ya kauli yake limeongeza mpaka juni na hawajataja mwaka. Kimsingi hawaamini kauli ya Rais,ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm.
2. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema chama chochote kinachofirisika kisiasa hutafuta visababu vya hovyo kuhusu matatizo yanayowakumba wananchi, tuambie, hizo mvua zinazotajwa kuwa sababu ya kukosa sukar,i zinanyesha Tanzania peke yake?!! Na vipimo mabwawa ya umeme,utatuambia majina yote yameelekezwa JNHP.
3. Hizo kero anazoambiwa Makonda nani amezileta? Na kote alikopita nani amewajibishwa?
4. Ninachoamini ccm ikiacha unafiki na wewe ukiwemo kuna mahali tutafika, ni hasara sana nchi kuwa na vijana wa aina Yako,natamani ungekuwa Mzee tukitujua muda mfupi ujao tutapumua.