Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Sisi kwetu CDM ni dhehebu hata kama hatutashinda, na kwa taarifa yako twafahamu kwamba waislam hamtupendi
Afadhali wewe umesema kweli.Wenzako wanajaribu kuziba jua kwa ungo.Ulichoacha kumalizia ni dhehebu tena la kidini.
 
CCM watakubali wagombea wengine wachukue fomu pamoja na Mama?.
CCM wana utamaduni wao wa kumuachia mgombea Urais amalize vipindi vyake viwili.Ndio sababu hakuna atakayechukua fomu.
Je Mbowe ataruhusu kuwepo na mgombea katika uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema?
 
CCM wana utamaduni wao wa kumuachia mgombea Urais amalize vipindi vyake viwili.Ndio sababu hakuna atakayechukua fomu.
Je Mbowe ataruhusu kuwepo na mgombea katika uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema?
Lini alichukua fomu ya kugombea Urais?.
 
Ana ushahidi kuwa chama kina udini? Hawa ma-Trojan horse Chadema waliwakaribisha wenyewe sana wanaanza..they were disaffected CCM members kipindi Cha #5 ,sasa wamerudi nyumbani.. somo la kujifunza hapa ni kuacha kukaribisha Kila mtu 'mlangoni' kwako.
 
Muwege wavumilivu kama wengine ukitajwa tuu kidogo mnang'aka kweli kweli kumkosea kaumbiwa Binadamu , ndio maana tunasema siku zote Binadamu hajamilika na mkamilifu ni mungu tuu.
 
Shangazi kasema kweli tupu,Udini waliuficha ila sasa wanaupambanua kitu ambacho kitawafelisha.
Baada ya Kushidwa Kutatua Kero za Wanainchi, CCM Mmeanza Udini Wenu Kama Kipindi cha Jakaya Kikwete, kwa Kutafuta Huruma ya Waislamu wa Tanganyika, Baada ya Kugundua Mama Samia ni Mzanzibar na Uislamu Haumtambui Kiongozi Mwanamke, Mnatafuta Kura zao.
 
CHADEMA hawawezi kupata kura za kundi lolote lile katika jamii lenye akili Timamu na linalojitambua.kwa sababu CHADEMA ni genge na mkusanyiko wa watu wasio na busara wala hekima wala adabu. Ni watu wanaofanya vitu kama vipofu na ndio maana chama kimekosa nuru na muelekeo kwa kuwa kinaongozwa na vipofu ambao akili zao zinawaza madaraka na vyeo tu. CHADEMA wapo tayari kushirikiana hata na shetani ilimradi wapate madaraka. CHADEMA wapo tayari kulipasua Taifa kwa Udini ,ukabila ,ukanda na hata kuchochea machafuko hapa nchini ilimradi wao wapate madaraka na vyeo.

Watanzania tunapaswa kuwapuuza CHADEMA na kuwakemea kabla hawajaharibu Taifa letu. Tuwakatae kwa nguvu zetu zote .kamwe tusiwaunge mkono kwa lolote lile .tuwaogope CHADEMA kama ukoma maana hawana dhamira njema na Taifa letu.
Umeandika ukiwa wapi?
 
Baada ya Kushidwa Kutatua Kero za Wanainchi, CCM Mmeanza Udini Wenu Kama Kipindi cha Jakaya Kikwete, kwa Kutafuta Huruma ya Waislamu wa Tanganyika, Baada ya Kugundua Mama Samia ni Mzanzibar na Uislamu Haumtambui Kiongozi Mwanamke, Mnatafuta Kura zao.
Bahati nzuri sukari, petrol, ugumu wa maisha umepanda kwa wakristo na waislamu
 
Back
Top Bottom