Shangazi yake nani huyu? Ila hili suala la wazee kukosa pumzi amelisemea vizuri

Anataka umeme wa uhakika, sio uzime mara upulizwe, huo yeye sio shida zake kabisaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wa kupuliza huo hauna uhakika, anataka moto wa kwenye gridi ya taifa, unakiwasha na kusugua mpaka cheche zitoke πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…