cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Huyu mbona ma mkwe, sio shangazi, em mlete shangazi bhana.Mashangazi wanavyojipa moyo wakiona mjumbe kafikisha ujumbe
View attachment 3436247
😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mbona ma mkwe, sio shangazi, em mlete shangazi bhana.Mashangazi wanavyojipa moyo wakiona mjumbe kafikisha ujumbe
View attachment 3436247
Kwasababu umesema uko Marekani, naamini kweli umeanza kulewa 😂 !Nipo marekani bia ya kumi now🤞
Kaka upo bwasheeMungu nifundishe kunyamaza
Mimi kulewa sio kitu ya kuulizaKwasababu umesema uko Marekani, naamini kweli umeanza kulewa 😂 !
Yani ametusema vizuri sana, pumzi imekua shida, mashangazi tunataka tupelekewe moto haswaa na nyie tako 5 tu wazungu hao!Mashangazi wanavyojipa moyo wakiona mjumbe kafikisha ujumbe
View attachment 3436247
Yani ametusema vizuri sana, pumzi imekua shida, mashangazi tunataka tupelekewe moto haswaa na nyie tako 5 tu wazungu hao!
Umefika, mzee wa hizi kazi 😂Mshangazi asikilizwe.
💯"Gari bovu, huvutwa na nzima"
😍😍 una kitu, usikilizwemishangazi tuachiwe sisi vijana wa makamo wenye pumzi za kuwa 💦💦💦
Kabisa, mzani ubalance 😂Wazee na wahangaike na vitoto vya afu mbili.
Hapo tumegawanya kwa 2 kila upande.. baada ya cross multiplication ✖️
Nilifikiri ni reality, hakuna scriptUkitizama vizuri inaonekana ni maigizo...
Jamani, yamekua hayo tena 😂😂Natuma ngoma kali ila inawezekana mnasikiliza kwa vifaa vya hovyo ndio tatizo lenu🚮
Jamani, yamekua hayo tena 😂😂
Ila asante kwa kuni-introduce to this artist, huu wimbo wake mwingine mzuri pia.
Kuna kakijana humu nakaelewa, sijui nikatag na mimi 😂😂😂
View: https://youtu.be/L7gruVgMCVQ?si=hypp1OSpNhr6nWOS
KakaMimi kulewa sio kitu ya kuuliza
Kaone , wala usiwaze moto wangu madam, mimi ni so special sipelekei moto kijinga jinga tu , sisi tuwe marafiki tuHuyu chapombe, moto ninaotaka hataweza kunipelekea.
Ila kuna kakijana humu nakazoom, nikipata courage na mimi nitakatumia ka wimbo 😂