Huyu mbona ma mkwe, sio shangazi, em mlete shangazi bhana.Mashangazi wanavyojipa moyo wakiona mjumbe kafikisha ujumbe
View attachment 3436247
Kwasababu umesema uko Marekani, naamini kweli umeanza kulewa ๐ !Nipo marekani bia ya kumi now๐ค
Kaka upo bwasheeMungu nifundishe kunyamaza
Mimi kulewa sio kitu ya kuulizaKwasababu umesema uko Marekani, naamini kweli umeanza kulewa ๐ !
Yani ametusema vizuri sana, pumzi imekua shida, mashangazi tunataka tupelekewe moto haswaa na nyie tako 5 tu wazungu hao!Mashangazi wanavyojipa moyo wakiona mjumbe kafikisha ujumbe
View attachment 3436247
Yani ametusema vizuri sana, pumzi imekua shida, mashangazi tunataka tupelekewe moto haswaa na nyie tako 5 tu wazungu hao!
Umefika, mzee wa hizi kazi ๐Mshangazi asikilizwe.
๐ฏ"Gari bovu, huvutwa na nzima"
๐๐ una kitu, usikilizwemishangazi tuachiwe sisi vijana wa makamo wenye pumzi za kuwa ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Kabisa, mzani ubalance ๐Wazee na wahangaike na vitoto vya afu mbili.
Hapo tumegawanya kwa 2 kila upande.. baada ya cross multiplication โ๏ธ
Nilifikiri ni reality, hakuna scriptUkitizama vizuri inaonekana ni maigizo...
Jamani, yamekua hayo tena ๐๐Natuma ngoma kali ila inawezekana mnasikiliza kwa vifaa vya hovyo ndio tatizo lenu๐ฎ
Ka tag tu hii ngoma ni fire sanaโ๏ธJamani, yamekua hayo tena ๐๐
Ila asante kwa kuni-introduce to this artist, huu wimbo wake mwingine mzuri pia.
Kuna kakijana humu nakaelewa, sijui nikatag na mimi ๐๐๐
View: https://youtu.be/L7gruVgMCVQ?si=hypp1OSpNhr6nWOS
KakaMimi kulewa sio kitu ya kuuliza
Kaone , wala usiwaze moto wangu madam, mimi ni so special sipelekei moto kijinga jinga tu , sisi tuwe marafiki tuHuyu chapombe, moto ninaotaka hataweza kunipelekea.
Ila kuna kakijana humu nakazoom, nikipata courage na mimi nitakatumia ka wimbo ๐