Shangilieni ushindi kwa Iran kwa maana maisha yanaenda kuwa rahisi sasa

Shangilieni ushindi kwa Iran kwa maana maisha yanaenda kuwa rahisi sasa

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,232
Reaction score
4,927
Kama kichwa kinavyoeleza dunia nzima inapaswa kushangilia ushindi wa vita kwa Iran.
Masharti yaliyowekwa na Iran US ameyakubali hii inaonesha mshindi ni Iran.

Mashati ya Marekani yote alikataliwa, machache haya
1. Kutotengeneza makombora
2. Kutorutubisha uranium
3. Kufungua mlango bahari Hormuz

Baada ya Iran mukataa wakatuma ya kwako na yote yamepita
1. Kuondolewa kwa vikwazo (vilikuwepo kabla ya vita) ✅
2. Fidia kwa uharibifu wa vita✅
3. Kutengeneza Makombora ✅
4. Kuuza mafuta yao duniani kote(kabla ilikua India na China tu) ✅
5. Kutoingiliana maswala ya ndani ya nchi ✅ na mengine mengi.

Kwa maana hiyo mafuta yanaenda kuongezeka duniani yatapatikana ya kutosha bei itashuka bidhaa zitashuka bei.

Kwanini tusishangilie Iran?

Trump ni binadamu anayeongoza kwa uongo duniani.
Alisema
"Iran imeshindwa, hatuna cha kupiga tena Iran, Iran haina tena silaha wanaomba mazungumzo, Iran lazma isalimu amri" 😂😂😁😁 sasa aliesalimu nani?

Piga makofi kwa Iran👏👏👏👏
 
Cha kushangilia ni kwamba wamefikia makubaliano, wanaoumia kwenye vita ni raia wa kawaida hasa wanawake na watoto na vijana wasioweza kujipambania. Tatizo mnaleta ligi na ushabiki kama wa Simba na Yanga kwenye mambo yanayohusu uhai wa binadamu mwingine. Vita imepiganwa na USA, Iran na Israel. Kuna kombola lolote lilitua hata mpakani mwa Marekani!?,na Iran je!?,halafu unaleta ushabiki eti Irani kashinda!?,waliokufa Irani ni wangapi!?,halafu unaleta habari za Irani na Marekani kama vile ni Ufaransa na Senegal world cup. Punguzeni ushabiki.
 
Jina lako tu linaonesha hujafurahia neno Iran
 
Back
Top Bottom